Elections 2010 Dr. Slaa Jangwani katika Picha

Mtu66

Senior Member
Jun 26, 2007
165
3
Picha zote kwa hisani ya Global Publishers

2drgk94.jpg

33lp26a.jpg

2j0l79d.jpg

Last edited by a moderator:
Geza Ulole si unajua mtu mwenye njaa TONGE LA KWANZA na mlenda ni tamu kulikoni TONGE LA MWIISHO la pilau kwa aliyeshiba...Tuna njaa ya more pictures...
 
Inabidi Chadema wawe smart about this! Wapeleke wapiga picha wao na waanzishe blog yao,website na kutumia vehicles kama hii ya hapa .. lakini kwa kumbania Dr Slaa na mkutano huu habari na picha wataifanya kesho gazeti ya Tanzania Daima iwe sold out in the morning ... bwahaha
 
kumbe picha mnazo sasa mnashindwa nini kuushawishi umma usome JF na magazeti ya global publishers? hapo mbona yule mwanamke aliyevaa nguo ya bluu haonekani(joke) naye alalamike kuwa hamkufanya kavareji vizuri? kila mtu atatosheka na namna kavareji ifanywavyo?
 
b9awcl.jpg

Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Dkt.Wilbrod Slaa, akizungumza na wakazi wa Dar es Salaam waliofika katika viwanja vya Jangwani kumsikiliza.
 
It all depends BAK. Wakipangwa wababaishaji mia, mmoja atakuwa kiongozi wao. Slaa anaweza kuwa kwa hii stage

Ahsante KN. Kwa maoni yangu sijasikia ubabaishaji wowote wa Dr Slaa pamoja na CCM kumtafuta sana ili wamuonyeshe kama mbabaishaji. Alipotupa list ya wnaofisadi nchi yetu wote walimtolea vitisho kwamba awaombe radhi haraka sana au watamfikisha mahakamani kwa kuwaharibia "reputations" zao lakini hakuna hata mmoja aliyefanya hivyo. Na ushahidi ulidhihirisha kwamba wale wote waliotajwa Dr ni mafisadi, lakini tukirudi kwa Kikwete kuna ushahidi chungu nzima wa kuonyesha ubabaishaji wake hadi Watanzania kumpa jina la msanii. Nadhani sina haja ya kurudia mambo mbali mbali ambayo yanaonyesha ubabaishaji wa Kikwete. Hata Ikulu aliingia kiubabaishajibabaishaji tu.

Duh! I don't know of what happended right now! But I gave all the weaknesses of slaa, Mod have have removed them!. strange as it is! I previoulsy have an idea that JF is a platform where we dare talk openly. I never knew that it is a platfom where Chadema dare talk openly! And for the same reasons, I will never be back on this platform. However, at this juncture, I have no means to convince you that Slaa he is unfit for anything except for MP position. The mass of Tanzania know it all, and we know it all. Keep on dreaming and goodluck
 
Kwanini utushawishi kwamba Dr. Slaa hafai kuwa rais ila anafaa kuwa Mbunge? Inakuwaje mtu afae kuwa Mbunge lakini asifae kuwa Rais? Sifa za wagombea wa nafasi hiyo ni zile zile, kasoro umri tu. After all, wewe ni nani mpaka utuambie kwamba hafai? Hoja zako za kum-disqualify Dr. Slaa hazina mashiko hata kidogo, sana sana naona ni uzushi.

Mwisho kabisa, naona Dr. Slaa ni tishio kwa Kikwete na ndio maana umekazana kwamba anafaa akagombee Ubunge ili Kikwete apate mteremko. Mwaka huu JK ataupata Urais kwa jasho, hatapewa kwenye sahani bila kuutolea jasho. Hakuna cha ushindi wa tsunami wala nini.
 
Wewe Keil, hujui unaongeaje na unaongea katika hanga hizi. Ni hiari yako, anyway. Lakini jamaa yenu Slaa kwisha bin mufulisi. Karatu hana lolot jipya kaleta. Yaaani hana mpya yoyote. Ataaibika sana na kupoteza umaarufu wake wa bungeni hivi hivi. Chukua maneno yangu. Si kweli kwamba CCM ni mafisadi, ila kuna watu mafisadi ambao wanashughulikiwa squarely right now. Wanachama wa Chadema ni mafisadi zaidi. Yeye mwenyewe Slaa, Mbowe na wenzake wakina Komu just to mention a few. Nitawapa mafile yao soon. Subirini tuanze kampeni. Niwafungue macho yenu muone nyuchi (uchi) zao.
 
Naomba nitajie japo majina 10 ya hao watu mafisadi ambao wanaoshughulikiwa squarely right now.

Ule ufisadi wa EPA umefikia wapi na waliokwiba zile hela wako wapi? KAGODA iko wapi? Zile za Radar mlipata chenji yenu? Na Chenge + Dr Rashid na yule mhindi aliyekimbilia Uswiss mmeishawapeleka mahakamani? Hii ni mifano michacho sana, sasa niambie hao mafisadi mnaowashughulikia wako wapi na ni akina nani?

Kutwa nzima akina Mh. Sitta wanalia kwamba wanahujumiwa na mafisadi kwa sababu ya Richmond (hao akina Richmond ni wana CCM hao hao). Akina Mwakyembe, Kilango, Lembeli, Selelii, Kimaro, Mwambalaswa, Zambi na wengine kibao walikuwa wanalia kwamba mafisadi wanatuma watu wakagombee kupitia CCM, so mafisadi wakuu wako humo humo CCM na CCM imeshindwa kuwashughulikia kwa kuwa viongozi wa juu wa juu walipata uongozi huo kwa ufisadi. Ndani ya CCM hakuna msafi, wote wanaogelea kwenye tope la uchafu wa ufisadi ndo maana wanaishia kulia na ukiwaambia tutajie, hawataji, maana wanajua wakitaja na wao wataletewa uchafu wao. Kaazi kweli kweli.
 
I previoulsy have an idea that JF is a platform where we dare talk openly. I will never be back on this platform.
Kanyafu Nkanwa Never say Never

Slaa he is unfit for anything except for MP position. The mass of Tanzania know it all, and we know it all.
This is great, mmeanza kukiri mmoja baada ya mwingine, kwamba the man is great, hilo ni joto tu bado moto unakuja.
 
Back
Top Bottom