OMBI: Tujitolee kulinda kura za slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

OMBI: Tujitolee kulinda kura za slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtende, Oct 27, 2010.

 1. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  wana jf tuwe wazalendo siku ya jumapili tujitolee katika vituo vyetu kuwa makini na kura za shujaa wetu slaa wasije wakazichakachua
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Noted
   
 3. R

  Rugemeleza Verified User

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni wazo zuri na kila mtu baada ya kupiga kura ahakikishe kuwa anaweka mkakati wa kupata chakula chake na kukaa katika kituo cha kupigia kura. Ni lazima mwende na tochi kwani hawa jamaa watazima umeme ili kufanya uchakachuaji wao. Mtu asitii amri ya kuondoka karibu na kituo na vilevile ni lazima kupeleleza nyumba au maeneo ambayo watakuwa wameficha kura bandia. Mawakala wasikubali kula au kuchangia chakula na wasimamizi au mawakala wengine kwani kitakuwa kimewekewa dawa za kulevya au kimeharibiwa ili waendeshe kama gari bovu.
   
 4. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  ni kweli pia mawakala wawe serious na msimamo maana hawa mafisadi hawakawii
   
Loading...