Mwishoni mwa miaka ya 1980 na mapema miaka ya 1990, nikiwa bado kijana mdogo na mwanafunzi, nilitawaliwa na shauku kubwa ya mabadiliko. Tulikuwa kizazi kilichochoshwa na ukiritimba wa mawazo ya...
Akina Chacha and Co.Ltd nyinyi ni kapuku tu. Hamna tofauti na watumwa huko Marekani ambapo House Negro walijiona bora kuliko Field Negro. Wote nyie CCM ni watumwa wa cartel ya CCM. Mnatupiwa...
Peter kwanza pole na msiba. Tumia nafasi hii anzisha Youtube channel ukielezea maisha yako na harakati za muziki na maisha utapiga sana hela. Pita na huu upepo kuongeza kipato na business deals.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Profesa Palamagamba Kabudi, amesema kuwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini hautakiwi kuchukuliwa kama uadui...
My Take
Hili lingetokea Tanzania ungesikia Machadema wakieneza chuki kwamba wamejipendelea.
Wanasahau kwamba Kuna msemo unasema mwenye nacho anaongezewa tena kihalali kabisa.
PUBLICATION NOT DONE BY THE ACCUSED
kutoka court of appeal in CAG judgement
Before, we pen off, we wish to briefly address the alleged failure to advert on the 1st respondent's statement made...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wafanyabiashara ndogo maarufu kama Machinga kutumia fursa wanazopata kujiendeleza na kuachana na biashara ndogo, akisema lengo ni...
HATA INGEKUWA MIMI, NIUZE MADAWA YA KULEVYA AU NIGEUZWE NYUMA, AU NITOE KAFARA AU NIJIDHALILISHE KWA uchawa, alafu LEO UJE UTAKE MALI ZANGU KIRAHISI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Lazima...
Tanzania na Msumbiji Kuimarisha Usalama wa Mpaka na Maslahi ya Kimkakati ya Ukanda
Na GULATONE MASIGA
Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya...
👉 Vyama vya siasa nchini Tanzania vinapaswa kufanya shughuli zao ndani ya mipaka ya sheria na kanuni zilizowekwa.
👉 Kiongozi yeyote wa kisiasa anapotoa kauli za uchochezi au zinazokiuka...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba Leo 7 Oktoba 2026, amewasili Nchini Uingereza ambapo atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa jukwaa la uwekezaji la Tanzania...
Ukiangalia hawa madada wamefanya zaidi ya hao masipika ambao wamepitisha sheria nyingi za kukandamiza demokrasia , kutuletea uchawa na umasikini mkubwa ambao unatokana ma mfumo mbaya wa ubinafsi...
Hii ndo inaitwa aibu utaona wewe😂😂😂
Wananchi wa Wilaya ya Magu wamesusia Mkutano wa CCM pamoja na pesa nyingi kutolewa kukusanya watu. Inadaiwa walibomoa soko wakidai wanajenga upya lakini mpaka...
Baada ya miaka saba Mahakama ya Rufani ya Tanzania hatimaye imeweka nukta na kuthibitisha rasmi kuwa hatua ya kumwondoa madarakani aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameagiza mzabuni aliyewauzia meza Machinga wa Manispaa ya Temeke kwa bei ya juu arudishe pesa alizozidisha, ameyasema hayo leo Oktoba 7, 2026.
Pia...
Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu, amesema taasisi hiyo itaendelea kuunga mkono majukwaa yanayowezesha mazungumzo, uvumilivu, ushirikishwaji, kuheshimu tofauti za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.