ok.🐒Hivi ni lazima Mkristo kuvaa mavazi ya kiislam katika msiba wa Muislamu
Alternatively , waislamu mbona huwa hawavai misalaba wanapokwenda kuwafariji wakristo?
Upumbavu na uchawa tu. Wewe ni mkristo tena mla kitimoto, mavazi ya kislam yanakuhusu nini?Utashi wa mtu binafsi
Watanzania tupo zaidi ya milioni sitini, kushughulika na mtu mmoja mmoja binafsi yangu mimi naona ni jambo gumuUpumbavu na uchawa tu. Wewe ni mkristo tena mla kitimoto, mavazi ya kislam yanakuhusu nini?
Fine, utashi wa kijinga. Mbona wao hawana habari na imani yako, why wewe kiherehere? Uhayawani tu.Utashi wa mtu binafsi
Mkuu Tindo kanzu sio vazi la Waislam pekeyao. Kanzu ni vazi la heshima kwa watu wote na wakati wote kama ilivyo sutiYaani katika vitu viongozi wa kikristo wanakwama ni huu upuuzi wa kuvaa mavazi ya kiisilamu kwenye hafla za waisilamu. Huwezi kuona muisilamu yoyote anavaa msalaba hata baba mtakafifu aje. Nikimuona tu kiongozi wa kikristo anavaa mavazi ya kiisilamu namdharau sana.
Kanzu sio vazi la kiislamu. Ni vazi la kitamaduni. Kama ilivyo mtandio.Hivi ni lazima Mkristo kuvaa mavazi ya kiislam katika msiba wa Muislamu
Alternatively , waislamu mbona huwa hawavai misalaba wanapokwenda kuwafariji wakristo?
Unafique mtupuHivi ni lazima Mkristo kuvaa mavazi ya kiislam katika msiba wa Muislamu
Alternatively , waislamu mbona huwa hawavai misalaba wanapokwenda kuwafariji wakristo?
Waganda na wahaya waliiga vazi kutoka pwani kwa waarabu walioingia bara kufanya biashara.Mkuu Tindo kanzu sio vazi la Waislam pekeyao. Kanzu ni vazi la heshima kwa watu wote na wakati wote kama ilivyo suti
Wahaya na Waganda kwa mfano kanzu huvaliwa na watu wote bila kujali dini zao likiwa ni vazi rasmi la heshima na taadhima kwao ambapo hata katika maharusi na misiba ya watu wa dini zote vazi hilo hutumika
Nigeria na baadhi ya nchi Afrika Magjaribi kanzu ni vazi la taifa katika nchi ambayo kuna zaidi ya Wakristo milion mia moja
Katika historia ya kale kanzu imetumika kwa watu wa imani zote na ipo katika maandiko karibia ya dini zote
Kwa hapa Tanzania kanzu pia imekua kama vazi la kitamaduni kwa watu wa Pwani ikiwemo Zanzibar. Kwa hiyo kwa maoni yangu mtu akivaa vazi hilo haina maana ameikana imani yake au amejipendekeza
Hilo ni vazi rasmi la heshima na la kitamaduni kwa waswahili na miongoni mwa mavazi yanayotambulika na kuruhusiwa ndani ya ukumbi wa Bunge pia
Tujaribu kuwa na fikra za kutuunganisha kama Taifa na jamii moja ya Watanzania kuliko kutugawa kwa ajili ya mavazi tu! Kwa hili tusichochee uasi wala tusikinukishe(I'm joking😀)
Uislamu umekataza kabisa kuvaa msalaba,kushiriki kwenye sherehe na ibada za dini nyingineHivi ni lazima Mkristo kuvaa mavazi ya kiislam katika msiba wa Muislamu
Alternatively , waislamu mbona huwa hawavai misalaba wanapokwenda kuwafariji wakristo?
Kanzu sio vazi la kiislamu. Ni vazi la kitamaduni. Kama ilivyo mtandio.
Kama ni hivyo, basi suti ni vazi la kikristu. Kwa hiyo ni kosa waislamu kuvaa suti wanapoenda kumfariji Mkristu.
Siku mkristu akibeba tasbih kwenda kutoa pole ndio tutamshangaa. Kama ambavyo tutamshangaa muislamu atakaye fanya hivyo huku kavaa msalaba.
Amandla...
Mavazi huwa yanatafsiriwa hata kwa mazingira boss. Mazingira ya Tanzania kanzu ni vazi la waisilamu, na hata hawa wakristo wanaovaa hapa ni katika hafla za waisilamu, huu ni ukweli usioacha shaka. Hawa wakristo wanaovaa kanzu lengo lao ni kuwa impress waisilamu, na wala hawavai kama vazi la heshima. Sipingi maelezo yako maana una hoja za msingi, lakini uhalisia unakataa.Mkuu Tindo kanzu sio vazi la Waislam pekeyao. Kanzu ni vazi la heshima kwa watu wote na wakati wote kama ilivyo suti
Wahaya na Waganda kwa mfano kanzu huvaliwa na watu wote bila kujali dini zao likiwa ni vazi rasmi la heshima na taadhima kwao ambapo hata katika maharusi na misiba ya watu wa dini zote vazi hilo hutumika
Nigeria na baadhi ya nchi Afrika Magjaribi kanzu ni vazi la taifa katika nchi ambayo kuna zaidi ya Wakristo milion mia moja
Katika historia ya kale kanzu imetumika kwa watu wa imani zote na ipo katika maandiko karibia ya dini zote
Kwa hapa Tanzania kanzu pia imekua kama vazi la kitamaduni kwa watu wa Pwani ikiwemo Zanzibar. Kwa hiyo kwa maoni yangu mtu akivaa vazi hilo haina maana ameikana imani yake au amejipendekeza
Hilo ni vazi rasmi la heshima na la kitamaduni kwa waswahili na miongoni mwa mavazi yanayotambulika na kuruhusiwa ndani ya ukumbi wa Bunge pia
Tujaribu kuwa na fikra za kutuunganisha kama Taifa na jamii moja ya Watanzania kuliko kutugawa kwa ajili ya mavazi tu! Kwa hili tusichochee uasi wala tusikinukishe(I'm joking😀)
Wahaya wanavaa kanzu kama sehemu ya utamaduni wao. Watu wengi wa Middle East wanavaa kanzu bila kujali dini zao. Hata Yesu alivaa kanzu. Waislamu wetu wengi wanachanganya utamaduni wa kiarabu na uislamu. Siku hizi wanavaa mpaka Keffiyeh kama ishara ya uislamu...Kanzu ni vazi la Kitamaduni, lakini pia ni vazi la Waislamu.
Majority misikitini wanakuwa wanavaa nguo za kawaida tu...majority ya Waislamu huvaa kanzu mahsusi kwa ajili ya ibada na sikukuu za dini yao?
Wanavaa kuiga utamaduni wa wazanzibari. Na baadhi kweli wanavaa kwa sababu mfiwa ni muislamu. Wanawake wengi wanavaa mitandio wakienda kutoa pole kwa waislamu wenzao. Ni ishara ya heshima tu na sio kosa. Hata Nyerere alivaa sana Balaghashia ambao wengi waliiona kama kofia ya waislamu...hao wanaovaa kanzu kwenda kumpa pole Mama Abduli hudhani kama wanafanya hivyo kwa kuiga uvaaji wa Waislamu?
Wasingevaa maana pasingekuwa na haja. Jamii yetu inaishi kwa heshimu tamaduni za wenzetu. Ndio maana wakristu wakitaka kuchinja wanamtafuta Abdallah awachinjie. Kufanya hivyo sio uchawa kwa waislamu bali heshima...Mama Abdul angekuwa Mkristo unadhani jamaa zetu wangevaa kanzu na kwenda kumpa pole?