Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Why Sitting Presidents Are Mourning A Private Citizen: The Power of Tenderpreneurship 🔴Wicknell Chivayo met 10 African Presidents and a King TANZANIAN President Samia Suluhu Hassan was in Harare...
2 Reactions
4 Replies
240 Views
Kwakweli hili swali limejibiwa vizuri na Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika. Lissu: Kuna kosa mtu akisema, “Msimamo huu unaashiria uasi”? Mnyika: Sioni kosa, kwa sababu nilishawahi kuona nukuu...
50 Reactions
63 Replies
2K Views
Wanabodi, Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya kutafsiri sheria, kuna tofauti kubwa kati ya uhalali wa kisheria na haki ni vitu viwili tofauti. Mimi japo ni mwandishi wa habari na mtangazaji...
7 Reactions
117 Replies
4K Views
iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa juu kabisa wa majeshi yote nchini. Swali langu ni dogo tu , ni lini Mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na...
22 Reactions
220 Replies
29K Views
Kumekucha: Spika wa Bunge la Uingereza, Sir Lindsay Hoyle ameipongeza Tanzania kwa mchango wake katika diplomasia ya kibunge pamoja na juhudi za kuimarisha maendeleo ya kiuchumi na ushirikiano wa...
2 Reactions
5 Replies
70 Views
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X, mfanyabiashara na mwizi wa uchaguzi Wicknell Chivayo ameweka wazi azma yake kuwekeza kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 500 (Dola Milioni 200) katika sekta ya utalii...
8 Reactions
41 Replies
1K Views
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗔𝗢𝗡𝗚𝗢𝗭𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗢 𝗨𝗢𝗡𝗚𝗘𝗭𝗔𝗝𝗜 𝗧𝗛𝗔𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗠𝗔𝗗𝗜𝗡𝗜 𝗔𝗗𝗜𝗠𝗨 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ni muhimu kuendelea kuwekeza katika matumizi ya teknolojia itakayowezesha nchi kuongeza thamani...
1 Reactions
1 Replies
40 Views
Ukiangalia uchumi wa Tanzania kwa sasa ni upo kwenye boom Uchumi unakua vizuri Bandari inaingiza mizigo mingi sana na moja kielelezo ni kuongezeka maradufu kwa bandari kavu Real estate iko juu...
10 Reactions
21 Replies
322 Views
  • Redirect
Huu ndio ujumbe aliosema leo huyu waziri wa sera uratibu ,bunge ,vijana na walemavu Wananchi mna maoni Gani tumwite Samia siyo halali au tumwite haramu?
0 Reactions
– Replies
– Views
Prof. Palamagamba John Kabudi na story zake nyingi kuhusu masuala ya kimataifa pia kuhusu Julius Nyerere. Palamagamba Kabudi pia aliwahi kuwa mwandishi wa habari. Hivyo kolamu / column ya...
9 Reactions
84 Replies
25K Views
Mwishoni mwa miaka ya 1980 na mapema miaka ya 1990, nikiwa bado kijana mdogo na mwanafunzi, nilitawaliwa na shauku kubwa ya mabadiliko. Tulikuwa kizazi kilichochoshwa na ukiritimba wa mawazo ya...
6 Reactions
11 Replies
127 Views
Miaka 5 : Je imani ya Bunge , Mahakama, Vyombo vya usalama umeongezeka au kupungua Kwa mawazo yangu umepungua kwa asilimia zaidi ya 100%
0 Reactions
12 Replies
64 Views
Akina Chacha and Co.Ltd nyinyi ni kapuku tu. Hamna tofauti na watumwa huko Marekani ambapo House Negro walijiona bora kuliko Field Negro. Wote nyie CCM ni watumwa wa cartel ya CCM. Mnatupiwa...
5 Reactions
24 Replies
298 Views
Peter kwanza pole na msiba. Tumia nafasi hii anzisha Youtube channel ukielezea maisha yako na harakati za muziki na maisha utapiga sana hela. Pita na huu upepo kuongeza kipato na business deals.
1 Reactions
0 Replies
50 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Profesa Palamagamba Kabudi, amesema kuwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini hautakiwi kuchukuliwa kama uadui...
1 Reactions
20 Replies
231 Views
My Take Hili lingetokea Tanzania ungesikia Machadema wakieneza chuki kwamba wamejipendelea. Wanasahau kwamba Kuna msemo unasema mwenye nacho anaongezewa tena kihalali kabisa.
4 Reactions
55 Replies
467 Views
PUBLICATION NOT DONE BY THE ACCUSED kutoka court of appeal in CAG judgement Before, we pen off, we wish to briefly address the alleged failure to advert on the 1st respondent's statement made...
1 Reactions
4 Replies
101 Views
Mwamba umeenda na pesa zetu bila kuaga. Why? Peter Msechu upo wapi?
4 Reactions
14 Replies
336 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wafanyabiashara ndogo maarufu kama Machinga kutumia fursa wanazopata kujiendeleza na kuachana na biashara ndogo, akisema lengo ni...
0 Reactions
8 Replies
158 Views
HATA INGEKUWA MIMI, NIUZE MADAWA YA KULEVYA AU NIGEUZWE NYUMA, AU NITOE KAFARA AU NIJIDHALILISHE KWA uchawa, alafu LEO UJE UTAKE MALI ZANGU KIRAHISI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Lazima...
11 Reactions
62 Replies
806 Views
Back
Top Bottom