Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba Leo 7 Oktoba 2026, amewasili Nchini Uingereza ambapo atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa jukwaa la uwekezaji la Tanzania...
1 Reactions
– Replies
– Views
Ukiangalia hawa madada wamefanya zaidi ya hao masipika ambao wamepitisha sheria nyingi za kukandamiza demokrasia , kutuletea uchawa na umasikini mkubwa ambao unatokana ma mfumo mbaya wa ubinafsi...
1 Reactions
0 Replies
47 Views
Hii ndo inaitwa aibu utaona wewe😂😂😂 Wananchi wa Wilaya ya Magu wamesusia Mkutano wa CCM pamoja na pesa nyingi kutolewa kukusanya watu. Inadaiwa walibomoa soko wakidai wanajenga upya lakini mpaka...
5 Reactions
7 Replies
243 Views
  • Redirect
Baada ya miaka saba Mahakama ya Rufani ya Tanzania hatimaye imeweka nukta na kuthibitisha rasmi kuwa hatua ya kumwondoa madarakani aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)...
0 Reactions
– Replies
– Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameagiza mzabuni aliyewauzia meza Machinga wa Manispaa ya Temeke kwa bei ya juu arudishe pesa alizozidisha, ameyasema hayo leo Oktoba 7, 2026. Pia...
0 Reactions
2 Replies
130 Views
Tumewaomba mwachilieni Emanuel Nchimbi tena kwa kuwambembeleza lakini hiyo njia imekua ngumu sana kuelewana. Mfano mdogo hapo kenya...
3 Reactions
7 Replies
264 Views
Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu, amesema taasisi hiyo itaendelea kuunga mkono majukwaa yanayowezesha mazungumzo, uvumilivu, ushirikishwaji, kuheshimu tofauti za...
0 Reactions
14 Replies
194 Views
Timu ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), ikiongozwa na Afisa Uhusiano Mkuu, Vicky Kamata, imefika katika Kata za Katangara Mrere na Kirongo Samanga, Wilaya ya Rombo mkoani...
2 Reactions
7 Replies
144 Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana Kwanini nchi za NAM (Non-aligned Movement) zinaonekana ni za kijamaa zaidi kuliko kuwa "neutral"?? Mfano: Tanzania, Zimbabwe, Venezuela, Cuba, Belarus. Are they really...
1 Reactions
3 Replies
33 Views
Hayati Benjamin Mkapa Katika kitabu chake "My Life, My Purpose" (2019) Ameeleza maeneo aliyofeli kama kiongozi 1. Kufeli Kukubwa Kuliko kote: Ubinafsishaji (Privatization) Anasema "Nilifanya...
28 Reactions
101 Replies
2K Views
"Mfumo wa demokrasia wa vyama vingi si uadui, sio uhasama, sio shari, sio vitisho. Mfumo wa vyama vingi ni kuwasaidia Watanzania wote wa maoni tofauti, wa mawazo tofauti, wa misemo tofauti kukaa...
0 Reactions
3 Replies
80 Views
Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua...
55 Reactions
504 Replies
43K Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa mwito mzito kwa Baraza la Vyama vya Siasa pamoja na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuchukua hatua za kufuta...
0 Reactions
4 Replies
143 Views
Naitwa Clement Nkwabi mkazi wa Geita. Napenda kukushirikisha suala la mdogo wangu Joel Raphael Nkwabi. Tarehe 15/12/2023 majira ya saa 2 usiku alienda kuangalia mpira lakini hakurudi. Tar.16...
16 Reactions
45 Replies
4K Views
Kuna hizi habari kwamba Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametekwa leo asubuhi maeneo ya Collosium Gym , Oysterbay alipokuwa ameenda kufanya mazoezi.. Mwenye habari kamili atujuze. ====== UPDATES...
87 Reactions
3K Replies
540K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa Rais Samia ametoa ajira nyingi sana katika historia ya Taifa letu ndani ya kipindi kifupi cha Uongozi wake. Ni ukweli ulio wa wazi kabisa...
2 Reactions
9 Replies
88 Views
  • Featured
Wakuu, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi. Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma...
86 Reactions
4K Replies
531K Views
TAARIFA KWA UMMA Jana Septemba 6,2024 zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa jioni maeneo ya Tegeta Jijini Dar es Salaam, mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ally Mohamed...
7 Reactions
91 Replies
8K Views
Singida. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema hakuna haja ya kuanza kuhangaika kutafuta wachunguzi kutoka nje kwa ajili ya kufuatilia wahusika wa shambulizi la Mbunge wa Singida...
5 Reactions
176 Replies
14K Views
Back
Top Bottom