Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii nchi Kuna muda inashangaza sana. Jana dada mmoja aitwae rose kwa wanavosema ametekwa katika eneo la mlimani City mchana watanzania wakiwa wanashuhudia na wengine kurekodi tukio hilo...
10 Reactions
22 Replies
548 Views
nchi zifuatazo utahukumiwa adhabu ya kifo mpaka ufe kama ukiacha/kataa islam (kuritadi) i.e kama usipotaka kuwa muslim tena basi kisheria unauliwa na state, nchi hizo ni kama zifuatazo (btw...
2 Reactions
5 Replies
72 Views
Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Mohamed Ally amesema mkutano wa leo Oktoba 7, 2026, pamoja na mkutano wa hivi karibuni wa TCD uliowajumuisha wadau mbalimbali, unaashiria utayari...
0 Reactions
1 Replies
87 Views
Sasa hivi kuna visingizio vingi sana vya eda ya raisi Samia baada ya kufiwa mume wake, watu wakidai inabidi tuelewe kwamba ana eda ya miezi minne na siku 10 kwa ajili ya kufiwa mume wake, hata...
0 Reactions
7 Replies
91 Views
Kama mdau wa JF katika jukwaa hili huru la siasa, Unadhani changamoto kubwa ni nini hasa, hata maandamano katika eneo la maziwa makuu na zaidi sana Africa Mashariki, kua na sura ya ushari zaidi...
1 Reactions
6 Replies
46 Views
  • Redirect
Yaani hii ya kujificha ndo inazidi kutilia chaka ujane wake. Yaani kwa dunia ya sasa unaweza kujificha mchana. Kama kweli Samia ni Rais, kwanini ajifiche? Anaficha nini? Washauri wa Samia...
0 Reactions
– Replies
– Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesema suala la kupigwa risasi kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, mwaka 2017 lilipaswa kuwa miongoni mwa ajenda muhimu zinazofuatiliwa na kujadiliwa...
1 Reactions
0 Replies
52 Views
Taarifa hii imemkata maini na kusababisha kujificha huko Mbutu Baada ya Chadema kutwaa madaraka hivi karibuni Yericko atakimbilia Malawi, tunafahamu hata mahali atakapofikia Hii ni kwa sababu...
1 Reactions
13 Replies
424 Views
Ni kiongozi pekee ambae Afrika imethibitishsa kuwa anapenda madaraka. Alilazima Ndugai ajiuzulu, na alifuta safu yote iliyokuwa karibu na mtangulizi wake. Kwa Lissu ni kikwazo cha ufisadi wake...
2 Reactions
2 Replies
69 Views
Imenishangaza sana baada ya kusikia eti eneo Moja ndani ya manispaa hiyo mpya wananchi wameingia mikataba na serikali husika walipie maeneo Yao kwa kuuziwa na serikali husika lakini wananchi hao...
1 Reactions
2 Replies
221 Views
👉 Chadema wamekuwa bingwa wa kutumia mikutano ya hadhara kama majukwaa ya kupiga kelele, matusi na kuchochea uvunjifu wa amani badala ya kujenga hoja za kisera. 👉 Chama hiki kimejenga...
1 Reactions
20 Replies
123 Views
Ndugu zako na rafiki zako hawataweza kukuzika, Muombe sana Mungu wako maana siku zako zimebaki chache sana.
4 Reactions
51 Replies
900 Views
𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔, 𝗔𝗟𝗚𝗘𝗥𝗜𝗔 𝗭𝗔𝗣𝗜𝗚𝗔 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗭𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗜𝗥𝗜𝗞𝗜𝗔𝗡𝗢 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗦𝗘𝗞𝗧𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗢 Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, amesema katika...
1 Reactions
0 Replies
18 Views
Leo umetimia mwaka mmoja tangu atoweshwe Balozi wetu mpendwa Humphrey Polepole. Kituo cha BBC Swahili, kimemuhoji nduguye Humphrey Polepole, anasema mama yake ana depression na amekuwa akizimia...
11 Reactions
32 Replies
588 Views
Hakuna Mtanzania asiyeona kwamba sasa nchi yetu Tanzania imeingizwa kwa ndani sana na utawala wa kikatili na kifisadi uliojikita kwenye kujifanya mabwana kati ya raia ambao wanapaswa kuwa watwana...
12 Reactions
93 Replies
512 Views
Habari kamili hii hapa
5 Reactions
18 Replies
292 Views
Hii nchi kumbe ina ofisi nyingi namna hii na hamsemi leo ndo nimejua kama kuna hii ofisi ya usalama Serikalini ambayo wajibu wake ni kutoa elimu kuhusu kanuni za usalama Serikalini kwa watumishi...
3 Reactions
81 Replies
15K Views
  • Redirect
Jana, tarehe 5 Oktoba 2026, usiku wa majira ya saa 5:45 usiku niliandika katika ukurasa wangu nikimkariri Hopewell Chin'ono wa Zimbabwe ya kuwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alitarajiwa...
2 Reactions
– Replies
– Views
Hahusiki na chochote ndani ya chadema lakini viongozi na wana chama wa chadema wanaweweseka na ukimya wake, lakini zaidi sana kuonekana kwake kwenye hafla za nchi kitaifa kumewatia kiwewe zaidi...
2 Reactions
10 Replies
135 Views
Back
Top Bottom