Wafanyakazi wote Wizara ya Mambo ya Ndani makao makuu majira ya saa 5.45 leo hii wamepewa pesa taslimu shillingi 30,000 kila mfanyakazi kuanzia mkubwa mpaka mlinzi ili wampigie kura Kikwete siku...
Wengi wa Wasimamizi na makarani wa vituo vya kupigia kura Jimbo la MONDULI kwa uchaguzi utakaofanyika 31/10/2010 ni wahitimu wa darasa la saba. Ni ukweli dhahiri kuwa mhitimu wadarasa la saba hana...
Wakuu,
Kwa wale ambao wapo Dar es Salaam, tunaomba wanaoweza kujitolea na kushirikiana nasi kwenye uangalizi wa uchaguzi tuwasiliane ili tuweze kuifanya kazi hii kwa ushirikiano na kwa ufanisi...
Jana wanazuoni wa Uhazili Tabora walijikuta wakisweka lupango kwa muda wa masaa kadha wa kadha baada ya kinachosadikiwa kumwonyesha alama ya "V" Mama Salma alama ambayo inatumiwa kukinadi...
Waungwana, ikiwa unakerwa na BBC, tafadhali weka malamiko yako hapa. Nimeongea na mkurugenzi wa world service na ameniahidi kwamba jinsi tutakavyotoa malalamiko ndio jinsi malalamiko yetu...
Jana nilitoa Thread inayouliza ""asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu ni tusi?""
Heading hii ilivuta hisiaza wanajamii wengi sana kiasi kikanipa jib kwamba wanajamii wengi wanaushabiki...
Jenerali Ulimwengu
Oktoba 27, 2010
Jumapili, Oktoba 31, tunapokwenda kupiga kura kuwachagua rais, wabunge na madiwani tufanye hivyo kwa kuzingatia sheria kuu kumi zifuatazo:
1) Tambua...
Nimefuatilia khali ya mambo inavyokwenda wakati tunakaribia kupiga kura nimeona dalili sio nzuri kabisa maana kuna kasoro nyingi mno ambazo ni riskfactors kwa vurugu hapa nchini. Nyingi ya kasoro...
Penye ukweli uongo hujitenga..........
Naomba mods musiifute hii post kwani hata serikali inaruhusu udini kujadiliwa ndiyo maana, al huuda,al nuur, habari leo au rai hawawezi kuchukuliwa...
Tembea tembea yangu kwa vidole nimejikuta niko kwenye uwanja unaitwa Uturn.Katika kutakasa macho na mapambio yaliyoko huko ni kavutiwa na habari inayo muhusu January Mkamba na mipango yake ya ku...
Navyamini mimi hakuna taifa lililopata maendeleo bila mabadiliko ya kisera na kiutekelezaji wa sera hizo kwani huenda sera zikawa zinafanana ila watekelezaji hawawezi kuwa sawa kwani wanadamu...
Waheshimiwa na ndugu zangu JF, salamuni popote mlipo,
Mnivumilie kwa maelezo marefu kani naamini mtakapomaliza kuyasoma wengi mtafurahi na kuboresha nilicholeta..
Kilio chetu siku zote...
ILIKUWA KAMA SINEMA NDANI YA TBC 1 Walipomuhoji CAG Bw Utouh juu ya madai ya Dr. Slaa kuwa Wilaya ya Bagamoyo ilitumia shs Milioni 700 kwa matundu manne ya choo. Jumla kwa vyoo vyote ni Bilioni 3...
Habari nilizo nazo ni kuwa kadi mpya za kupigia kura Tarehe 31-10-2010, bado zinatolewa kwa wapiga kura ambao sio rasmi( ambao hawatambuliwi na NEC). Lakini pia kuna tatizo kubwa sana,watu...
Jioni hii BBC wamemsusa dr Slaa hawajatangaza chochote kuhusu yeye. Wameokoteza vitu vya ajabu ajabu ambavyo havina mvuto kufananisha na jinsi Slaa alivyoteka tz Leo