Malalamiko dhidi ya bbc-swahili hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malalamiko dhidi ya bbc-swahili hapa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Muke Ya Muzungu, Oct 29, 2010.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Waungwana, ikiwa unakerwa na BBC, tafadhali weka malamiko yako hapa. Nimeongea na mkurugenzi wa world service na ameniahidi kwamba jinsi tutakavyotoa malalamiko ndio jinsi malalamiko yetu yatakavyoshuguliwa haraka. Taja Idhaa ya kiswahili, Tanzania elections. TIDO MHANDO FORM 4, AMEINGILIA UHURU WA HICHI CHOMBO TANZANIA

  Lets send 100 before the end of the day to get matters reversed. Ninaamini utekelezejai wa Brits

  Bofya hapa kuandika malalamiko yako
  BBC World Service - Institutional - Contact Us
   
Loading...