Ni kweli kikwete sio mdini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli kikwete sio mdini?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jile79, Oct 28, 2010.

 1. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Penye ukweli uongo hujitenga..........
  Naomba mods musiifute hii post kwani hata serikali inaruhusu udini kujadiliwa ndiyo maana, al huuda,al nuur, habari leo au rai hawawezi kuchukuliwa hatua zozote kwa uchochezi wanaofanya.rai la leo wameandika "slaa hafai kuwa rais,anampango wa kuigawa nchi kwa udini na ukabila"

  kikwete ndiyo kiongozi mdini ambaye hajawahi kutokea ktk historia ya tz na ni mtu hatari sana kwani yeye ni mdini kwa vitendo ila slaa ni mdini kwa maneno.......km ifuatavyo

  1. Kikwete aliweka kwenye ilani ya ccm mahakama ya kadhi na kuinadi ......je,yupo tayari kuweka mahakama ya kikristo ktk ilani ya ccm na kuinadi?!
  2. Kikwete kiongozi wa kitaifa aliyeapa kuilinda katiba anaacha wabunge wapoteze muda wa kujadili mambo muhimu kwa mustakabali wa taifa letu kuwaacha wanajadili upumbavu wa mahama za kikdini?!
  3. Waislamu walitamka wazi kuwa hawataichagua ccm na kikwete kwa kuwa alikuwa bado kutimiza matakwa yao ya mahakama ya kadhi,kuna habari za uhakika kuwa amewahakikishia waislamu kwa siri kuwa watulivu ili apate kwanza kura za wakristo alafu atakufa nao akishaingia madarakani na ndiyo maana waislamu wamekaa kimya na kumkashifu dr.slaa
  4. Angalia timu ya kampeni ya kikwete.....kikwete muislamu, gharib bilal muislamu, abdulahman kinana muislamu, salma kikwete muislamu, riziwani kikwete muislam wako wapi akina pinda na msekwa kweneye kampeni km sio udini ni nini?

  tujiulize, kwa vitendo nani mdini kati ya kikwete na slaa?
  tujadili ukweli na kwa statistics km nilivyofanya mimi tusaidie kujenga nchi ambayo
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Wewe wasema
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Mbona hutaki kujadili ukweli? Wewe unasemaje na propaganda za ccm?
  Na wewe wasikia?
   
 4. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Mafisadi wamenunua vyombo vyote vya habari kumchafua dr.slaa kwa makusudi na wakijua kutoka moyoni mwao kuwa wanafanya hivyo sio kwa sababu ni wakweli ila kwa sababu jamaa anatishia maslahi yao binafsi waliyokwishayaanzisha na kikwete
  ukweli unauma kuliko kitu kingine chochote.................
   
 5. M

  Mkerio Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 12, 2006
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasikia CCM wanatembea kwa maaskofu kuwaomba wawapigie kampeni. je huo sio udini? Habari za ndani zinasema yule aliyepeleka Tshs 30 m kwa askofu akazikataa alikuwa makamba. Kuna hatari!
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Sikutarajia kuona alama ya kiulizo kwenye heading kama hiyo

  Ni kweli kikwete mdini
   
 7. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Hizi pesa za epa amabzo ccm na kikwete waliiba zitatutesa kwa miaka mingi sana..............
  Tayari wameshafanikiwa kumnunua "mzee wa upako" antoyn lusekelo naye bila kujua mtumishi wa mungu kageuka mtumishi wa shetani ccm
   
 8. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naam Mungu ajua
   
 9. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Kwa nini kikwete anahubiri ukabila kwa maneno wakati yeye anatengeneza taifa lka ukabila kwa vitendo?..............kikwete amajenga ukabila nchini kwa kujenga shule za kata ambazo zinabagua na watz wanashindwa kuchanganyana km ilivyo kuwa siku zetu na zake.............kikwete angemjua vipi lowasa km angesoma shule za kata............kikwete hafai kuwa rais kwani anajenga taifa lenye misingi ya udini na ukabila.
   
 10. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Not sure kwa hili! ila najua kuwa JK ni clumsy katk maamuzi yake, ni mtu anayeshikiwa ubongo na wengine sasa huenda kwa asababu hiyo anashindwa kuemploy fikra za kuweza kumuwezesha kugundua consequences au outcomes za kila decision anayofanya! nadhani hili ni tatizo kubwa sana la huyu mkuu! he's not a natural leader, a natural leader need to be strong and a decision maker! the guy is no where near it!! sorry!
   
 11. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  It would be godo enough if even ccm members could have known these facts!

   
 12. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hakuna kitu kinanikera kama Rais mzima kuanza kuzungumzia UDINI au UKABILA kwenye nchi yake, huku akijua wazi kwamba anachosema ni UONGO mtupu. Huyu hafai kurejea Ikulu kwani ataanza kuwagawa waziwazi watanzania kwa misingi ya dini zao na makabila. Watanzania hawana mambo ya ukabila wala udini, na yeye analijua hilo. Ni Rais wa aina gani huyu? Enyi Watanzania hebu zindukeni mumkatae kabisa mtu huyu hatari. Huyu ndiye anayepita kisirisiri kwa Waislamu na kuwapa ahadi kwamba awamu yake ya mwisho ataweka mambo yao sawa. Kwa kifupi HAFAI.
   
 13. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  this is the truth...........kwa vitendo yeye ndiyo mdini na mkabila ila kwa maneno dr.slaa ni mdini na mkabila...........KIKWETE ANATUMIA VIBAYA MADARAKA YAKE NA ANAFANYA HIVYO SI KWA FAIDA YA WATZ BALI KWA FAIDA YA MAFISADI,MARAFIKI ZAKE NA FAMILIA YAKE........"TUMWOGOPE KM UKOMA HAFAI KUWA RAIS WETU"
   
 14. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  mimi nawewe tujadili ili ukweli utuweke huru kuliko hizi propaganda................
   
 15. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  I am pretty convinced thy are all aware of this! na kwa mtazamo wangu ni hayo makundi matatu ya CCM !
  1) Ambao wapo hooked up na Mafisadi kwa njia moja ama ingine, wapo na ukaribu sana na Mafisadi na wanafaidika kila kukicha bila jasho;
  2) Wa katikati, ambao most are following it with hopes of becoming mafisadi! hao wengi wameelimika katika viwango tofautitofauti, na wengi pia wapo nje wakitegemea watapata uongozi in the nearest future so they can milk! humu ndio kuna ambao wanafungua matawi mpaka nje!! 3) Poor Tanzanians with no hopes! these are those have given up! they have lost it ila wamejawa na ujinga na uoga. These are majorities na wanaburuzwa kila leo! they desperately need help. These are the losers as they dont benefit anything from CCM.
   
 16. jaxonwaziri

  jaxonwaziri JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  :A S angry:Nani kasema hawa sio wadini hawa??????!!!!!!:A S angry:
  Mdini.JPG
   
 17. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Mara nyingi nimekuwa nikisikia viongozi wa ngazi za juu km Makamba.kikwete na wengineo wakisema ccm ina wenyewe...sasa nilijaribu kufuatilia vyanzo mbalimbali nilivyonavyo kumbe ccm ina watu 36 ambao piga ua mtu mwingine huwezi kutia timu ktk uongozi wa juu serikalini au ccm............la sivyo fasta watakuita mdini, watakuita sio raia..........hii ndiyo ccm na ndiyo imetufikisha hapa tulipo na hawa ni watu 36 tu wanaopanga propaganda........kwa hiyo wanaopigia debe ccm wajue ccm ina weneyewe na idadi ya hao wenyewe ndiyo hiyo na wengine mtavaa sana kofia na fulana lkn kamwe hamuwezi kutia timu ndani ya uongozi wa mafisadi labda yafanyike mapinduzi
   
 18. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2010
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,603
  Likes Received: 6,770
  Trophy Points: 280
  Mod, ondoa hii mada, ni uvumi tu, haina ushahidi, ni sumu ya udini uliokubuhu, inalenga kutugawa badala ya kutunganisha. hakuna ushahidi wowote wa Kikwete kuwapendelea Waislamu. na infact ilani ya mwaka 2005 yenye kutaka mahakama ya kadhi ilikuwa ilani ya CCM na iliandikwa Ben akiwa raisi, na akiwa Mwenyekiti wa CCM, sasa Kikwete anaingiaje hapo?.

  Tena wakati huo viongozi wa Makanisa ndo walikuwa wanamuunga mkono kwelikweli, je hawakuliona hilo, ndo wameliona sasa?.

  wewe kwa akili yako unafikiri Slaa anakwenda Ikulu kuwa raisi wa wakiristo peke yao?

  Na kwa Taarifa yako Waislamu, wakiamua kwa dhati kabisa kuitaka Mahakama ya kadhi nchini irudi nchini, itarudi tu, hakuna mtu yeyote wa kuzuia. Ni raisi gani atapeleka majeshi barabarani kuua raia milioni 20 wanaotaka jambo fulani?.

  Tumchague Slaa akawe raisi wa Tanzania, lakini kama mnadhani atakwenda kuwafavor Wakiristo dhidi ya ya Waislamu, basi mmeula wa chuya, akishafanya hivyo nchi haitatawlika ile.
   
 19. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  wnataka kuleta mambo ya alubadili nchini .......kikwete hatutaki udini unaoeneza chinichini tunajua mipango yote dhidi ya ukristo kwani wewe hakuna mwana ccm asiyejua kuwa wewe ni mtu wa porojo na kulipiza kisasi........
   
 20. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mheshimiwa Jile 79;

  Pole kwa kuandika kwa uchungu mkuu!

  Ukweli ni kuwa UFISADI uliolelewa na kukomaa ndani ya CCM ndio umezaa na kuendekeza ukabila na udini. Kabla ya hapo taifa lilikuwa moja bila utata wowote. Na Rais Jk Kikwete ...amatajwa kwenye list of shame... ya Maifisadi.

  Ukisoma gazeti la rai mwema la oktoba 27-novemba 2, 2010. Kichwa cha habari:

  Dr Slaa afunga kazi.


  ...kuwashugulikia vigogo 11 wa list of of shame.
  ..... Aahidi kuwamaliza ndani ya miezi sita.​
  Limewataja baadhi ya Mafisadi wa kuu kuwa ni:

  1. Rais Jakaya Kikwete.
  2. Rais Mstaafu Benjamin W Mkapa.
  3. Dr Daudi Balali
  4. Andrew Chenge
  5. Basil Mramba
  6. Gray Mgonja
  7. Nazir Karamagi
  8. Nimrodi Mkono
  9. Rostam Aziz
  10. Eduward Lowassa
  11......nk...nk....

  Tufanye uchambuzi Yakinifu.

  1. Hawa watu ni wadini moja? HAPANA ...Wanajali, kuzingatia na kuzozana dhidi ya dini ya kila mmoja wao? HAPANA ... Wameunganishwa na ufisadi , kuulinda na kujilinda na kuutetea kwa gharama zozote.

  2. Ni wakibila moja? HAPANA ... Wanajali kabila la kila mmoja wao? kulizingatia na kuzozana? au kuuna kwa ajili ya tofauti za kikabila ..? HAPANA. Wameunganishwa kufisadi taifa...wataulinda ufisadi na kuutetea ..hadi kifo kiwateganishe.

  3. Wana rangi ya aina moja kwenye ngozi zao? HAPANA ..wanajali hilo katika kufikia malengo yao? HAPANA ... Wameungana kwa kazi moaja tu, kulifisadi taifa na kujilinda wao na familia zao hata wengine wakimwaga damu wao haiwahusu.

  4. Wanatoka kanda moja? HAPANA... Hawajali kanda za wapi katoka nani ...Chamsingi wafanikishe adhma yao ya kufisadi na kujilinda hata kutumia nguvu za dola na hata ikiwezekani toka nje ya nchi..Kudumisha umoja na nguvu ya kundi ndio msamiati mkuu.

  UJINGA WA WANANCHI WETU:

  1. Wanafikiri fisadi wa Kikristo anajali ukristo kuliko ufisadi na kundilake. Wanafikiri atawasaidia na kuwalinda Wakristo na kuuacha wanachama wenzake.. hata kama sio wakristo. Si kweli Fisadi wa Kikristo hatawasaida wakristo wala waislam. Fisadi wa kiristo wala hakubaliki na wakristo wa kweli.

  2. Wanafikiri fisadi wa Kiisalam atawajali waislamu na kuwaacha wakristo mafisadi wenzake kwenye list of shame. Kufikiri hivyo ni ujinga na kupotoka. Hawatambui kuwa kiukweli fisadi hana dini zaidi ya ufisadi wenyewe. Hatawasaidia waislam wala wakristo..labda tu kama ni jia ya kuwanyonya na kuwatumia. Fisadi wa kiislam wala hakubaliki na Waislam wa kweli.

  3. Wanafikiri eti, Fisadi wa Kihindi, ataacha na kuwakana mafisadi waafrika ili kuwatetea wahindi wasio mafisadi. Fisadi hajali ngozi ya mtu, anatizama kama uko kundini tu, kama haupo ... atakumaliz atu!

  UTAMBUZI:

  Utu wa Mtu; sio dini. Utu hauna dini.
  Utu sio Ukabila. Utu hauna kabila.
  Utu sio rangi ya ngozi. Utu hauna rangi...ni utu tu!
  Utu sio ukanda. Utu hauna ukanda!
  Utu sio Jinsia. Utu hauna jinsia.

  LAKINI: UTU SIO UFISADI.

  FISADI AMEKANA UASILI WAKE. AMEUVAA UNYAMA:

  Hivyo basi FISADI Hawezi kuwa wa msaada kwa dini yeyote, kabila lolote, mkoa wowote, jinsia yeyote.. Si wakuaminiwa hata kidogo mahali popote!

  UKWELI:

  Kabla taifa hili kupekwechwa kwa ufisadi wa kiwango cha juu kabisa...

  Watanzania tulikuwa tunaishi Bila kujali tofauti ya makabila yetu,
  Watanzania tumekuwa tunaishi bila kujali tofauti ya Dini zetu,
  Leo Mafisadi wanatuchanganya hadi tunaanza kuona kuwa tatizo ni dini na ukabila...Hapana si kweli na hatukubali jambo hilo. Huo ni upuuzi!

  TUWAONYESHE NGUVU YA PAMOJA KUWA SISI: NI WAMOJA KATIKA UTU WETU, KAMA WAO WALIVYO WAMOJA KATIKA UFISADI WAO.

  UMOJA WA UTU WETU NDIO UTANZANIA.

  NA UTANZANIA SIO UKABILA, SIO UDINI, SIO UKANDA, SIO UFISADI: NI UUNGU NDANI YA MTU NA NDIO MAANA TUNAIMBA MUNGU IBARIKI TANZANIA ... !!!

  Fuatilia na soma kwa kina gonga hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/80446-adui-yako-sio-mwislam-sio-mkristu-sio-kabila-lingine-ni-fisadi.html
   
Loading...