Elections 2010 Ng'ihili hakumkosea kikwete bali na wazazi wake pia

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Jana nilitoa Thread inayouliza ""asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu ni tusi?""

Heading hii ilivuta hisiaza wanajamii wengi sana kiasi kikanipa jib kwamba wanajamii wengi wanaushabiki wa vyama na si Reality,, Ushabikiwa vyama si mzuri kwakuwa hata tukimchagua mtu,, tunakuwa tunamchagua mtu na si chama,,, na suala la performance ni yakwake yeye na si chama,,

Binafsi napenda nione mabadiliko ya uongozi,, kwani kinachotula sisi ni KATIBA TU,, ikibadilishwa hii,, every thing will be fine,, na CCM hawataki kwakuwa inawalinda wao..

SWALA LA NG'IHILI.. Ng'ihili hakuwa na sababu ya kuongea vile KIMAADILI ya Kitanzania na UTU pia kwa sababu zifuatazo..

1. Ng'ihili ni mfano wa Watuwanaohitaji mabadiliko na wananchi wanahitaji wajifunze kwake ili imani ya wananchi iangukie kwake,, kama anatoa lugha iliyolenga kumkashifu Raisi aliye madarakani MAANA YAKE YEYE HANA MAADILI,, na mtu asiye na maadili atagombeaje uongozi,,

2. CHADEMA kinatafuta kuchukua nchi ilikiipeleke mahali sahihi Kama wengi tunavyo amini,, lakini kumuaminisha mtu kwa kutumia maneno ya kashfa unaweza usipate suport kwani watu wenye akili zao timamu hawawezi kukuruhusu uwe kiongozi wao awe mtu wa kutoatoa kashfa Hadhalani...

3. Ninauhakika DR. SLAA hakukifurahia kitendo kile hata kidogo,,

Kwa hiyo NG'IHILI alikosea na sisi tusiwe na ushabiki wa kijinga wa kichama,,
 
hebu niambie ASIEFUNZWA NA ***** HUFUNZWA NA DUNIA,
NA wale waoote waliohudhulia mkutano wa chadema ni MAJUHA....?
LIPI TUSI hapo ?
 
Na raisi anapo tukana wananchi kua wakihudhuria mikutano ya wapinzani ni majuha alimkosea nani?

Ukweli ni kwamba tunawapenda sana mama zetu,na inapo tokea mzazi huyu akatajwa katika kitu chochote na kikawa cha kulaumiwa basi tuna chachamaa kweli kweli,ila bila kuacha ushabiki wa yeyote yule na bila kurefusha ukweli:-

Hii ni methali na tunafundishwa mashuleni, sema tu ilipokelwe vibaya kwani hata maana yake inajulikana ila kwa upande wa pili jk katukana watanzania wengi sana kwa kuwaita majuha
 
Sikiliza mwanajamii mwenzangu,, Kimsingi hakuna tusi lolote lililo tamkwa pale,, lakini jinsi sms ilivyo daliva kwa watu imecreate jambo baya sana ambalo "" Raisi wetu mwana mapinduzi SLAA hakufurahishwa nalo""

mi naamini wewe umeelimika vya kutosha na umechoshwa vya kutosha na Selikali yetu iliyo Madarakani,,, Mtu akikukashifu wewe,, the best way tumia udhaifu wake kutengeneza marafiki wengi sana,,,

CCM wanajua kabisa Chadema ndicho chama chenye upinzani wa kweli,, na ndio maana wanafikia hatua hata ya kutengeneza chuki zisizo na msingi.. Mapinduzi huenda kwa kutengeneza watu wenye roho za kimapinizi na Busara,,

Mtu mwenye busara haonyeshi hasira kwa adui yake hata sikumoja..
 
Kaka Udhaifu wa kikwete ni sawa na Mfamaji haachagi kutapatapa,, sasa akikuita wewe juha Waonyesheni Watanzania wote kuwa wametukanwa ili watusuport katika mbio za kimapinduzi na si kumtafutia jembe yeye kwani mwisho wa siku watu watawaona na wao wanao bishana ni wehu wote,,
 
Mama yake hakumfundisha UFISADI ni ulimwengu ndio UMEMFUNDISHA sasa tusi liko wapi...au anataka kutuambia Mama yake alimfundisha ufisadi?
 
Mama ktk muktadha aliyozungumzia mgombea alimaanisha CCM ambayo imemlea JK toka udogoni.... JUHA kama aliyozungumzia JK alimaanisha Hadhira ama watu so sisi watanzania wote tuliokuwa tunafuatilia kupitia luninga na waliokuwa mwembe yanga wote sisi ni MAJUHA kwa mujibu wa JK... SWALI Nani katukana kati ya JK na Mgombea wa Chadema? ukishindwa kujibu then wewe pia ni JUHA!
 
Hahahahahahah inaonesha jinsi ubongo wako ulivyo fanana na wa kikwete,,
Mimi naongelea Mambo mengine ya kimsingi wewe unaleta mambo yasiyo na faida kwa chama cha WANAMAPINDUZI,, hivi wewe Adui yako akikutegea Miba njiani unachukua uamuzi gani ili wewe usionekane mpuuzi? Kama si kubadilisha njia ili mishen yake isifanikiwe?

Kikwete alikosea,, usitumie kosa lake kwa kufanya kosa lingine zaidi,, naongea hivi kwasababu unapotaka kutafuta marafiki tumia busara utaapata wenye busara wenzako,, ukitumia matusi utawapata watukanaji,, na ukitumia yuchizi utawapata machizi..

Chadema inatafuta marafiki wa kukisuport kifanye mapinduzi so nivizuri kutuma busara kama zilivyo fanya toka kinaanza movement yake,, pole pole tunashinda...

hivyo ndivyo nilivyo maanisha sipo kwaajiri ya kulimbana baba
 
Msingi wa kesi hii ni kufafanua maana ya neno ADABU halafu tumlinganishe na aliyetajwa kwamba hana adabu...baada ya hapo jaribu kuangalia chanzo cha adabu ya mtu kinaanzia wapi .... labda familia...sina hakika...

Tukumbuke hata Mchungaji Mtikila alimwambia Rais wa nchi kuwa alikuwa MPUUZI... likaonekana tusi akafunguliwa kesi na baadaye Mchungaji akashinda baada ya mahakama kupata mzizi wa neno lenyewe..
 
Tusipotoshe ukweli, wazazi hawajatukanwa maana walimfundisha maadili mema na ndio maana zamani enzi zile za MWALIMU alikuwa anaoneka makini, na sasa ulimwengu umemfundisha uffisadi na usanii, Ng'ihili hakukosea
 
Rais alichaguliwa kwa zaidi ya 80% ya kura zilizopigwa, na kimsingi rais ni mwajiriwa wa wapiga kura.Rais Kikwete ameajiriwa na watu zaidi milioni 40 wa Tanzania,hivyo kitendo chake cha kuwadharau watu milion 40 na kuwaacha wanateketea kwa umasikini wa kupindukia na kuwakumbatia mafisadi wachache wasizidi 20 wakipora raslimali zetu ni kitendo cha kukosa adabu kwa mamilion ya watanzania waliomweka madarakani, naungana na mgombea huyo wa Chadema kuwa Kikwete hana adabu, hakuna lugha nyepesi ya kuweza kuelezea utovu wa adabu wa JK kwa waajiri wake.
 
Nadhani Ng'hilly hakutukana kusema jk hana adabu si tusi kwa haliyoyote ile, ila kuwaita watu ni majuha bado nadhani si sahihi. Jk ameruhusu nchi hii aliyokabidhiwa na wapigakura iporwe na yeye akibakia kuchekacheka nadhani yeye ndio JUHA!
 
ccm wanakuza mambo ya kijinga, huu mbona ni msemo wa kawaida na unatumika miaka nenda rudi?
au kwakuwa kasema candidate wa CHADEMA inakuwa kesi.
wakakamate mafisadi na sio watu wanaotumia methali za kawaida kabisa..........

ni sawa kabisa kwa yule bwana mdogo aliyemvalisha mbwa tshirt ya kikwete.......ccm adabu yake
imepotea that was the message
 
Jana nilitoa Thread inayouliza ""asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu ni tusi?""

Heading hii ilivuta hisiaza wanajamii wengi sana kiasi kikanipa jib kwamba wanajamii wengi wanaushabiki wa vyama na si Reality,, Ushabikiwa vyama si mzuri kwakuwa hata tukimchagua mtu,, tunakuwa tunamchagua mtu na si chama,,, na suala la performance ni yakwake yeye na si chama,,

Binafsi napenda nione mabadiliko ya uongozi,, kwani kinachotula sisi ni KATIBA TU,, ikibadilishwa hii,, every thing will be fine,, na CCM hawataki kwakuwa inawalinda wao..

SWALA LA NG'IHILI.. Ng'ihili hakuwa na sababu ya kuongea vile KIMAADILI ya Kitanzania na UTU pia kwa sababu zifuatazo..

1. Ng'ihili ni mfano wa Watuwanaohitaji mabadiliko na wananchi wanahitaji wajifunze kwake ili imani ya wananchi iangukie kwake,, kama anatoa lugha iliyolenga kumkashifu Raisi aliye madarakani MAANA YAKE YEYE HANA MAADILI,, na mtu asiye na maadili atagombeaje uongozi,,

2. CHADEMA kinatafuta kuchukua nchi ilikiipeleke mahali sahihi Kama wengi tunavyo amini,, lakini kumuaminisha mtu kwa kutumia maneno ya kashfa unaweza usipate suport kwani watu wenye akili zao timamu hawawezi kukuruhusu uwe kiongozi wao awe mtu wa kutoatoa kashfa Hadhalani...

3. Ninauhakika DR. SLAA hakukifurahia kitendo kile hata kidogo,,

Kwa hiyo NG'IHILI alikosea na sisi tusiwe na ushabiki wa kijinga wa kichama,,

Hayo aliyatamka Ng'hili kwa Kikwete hebu jaribu kuyageuzia kwa Dr Slaa halafu uone utamu wake. Humu watu hawako na reality wapo kwa ushabiki tu. Itakuwa mbaya sana Slaa akishindwa! Kama tayari kuna chuki ya namna hii !!!!!!!!!!!!!!! Ajabu sana!!!!!!!!!!!!!!
 
this is stupity to accuse someone that ametukanwa...kama wamekosa hoja za kutukanwa wasema........Chadema oyeeeeeeeeeeee
 
Jana nilitoa Thread inayouliza ""asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu ni tusi?""

Heading hii ilivuta hisiaza wanajamii wengi sana kiasi kikanipa jib kwamba wanajamii wengi wanaushabiki wa vyama na si Reality,, Ushabikiwa vyama si mzuri kwakuwa hata tukimchagua mtu,, tunakuwa tunamchagua mtu na si chama,,, na suala la performance ni yakwake yeye na si chama,,

Binafsi napenda nione mabadiliko ya uongozi,, kwani kinachotula sisi ni KATIBA TU,, ikibadilishwa hii,, every thing will be fine,, na CCM hawataki kwakuwa inawalinda wao..

SWALA LA NG'IHILI.. Ng'ihili hakuwa na sababu ya kuongea vile KIMAADILI ya Kitanzania na UTU pia kwa sababu zifuatazo..

1. Ng'ihili ni mfano wa Watuwanaohitaji mabadiliko na wananchi wanahitaji wajifunze kwake ili imani ya wananchi iangukie kwake,, kama anatoa lugha iliyolenga kumkashifu Raisi aliye madarakani MAANA YAKE YEYE HANA MAADILI,, na mtu asiye na maadili atagombeaje uongozi,,

2. CHADEMA kinatafuta kuchukua nchi ilikiipeleke mahali sahihi Kama wengi tunavyo amini,, lakini kumuaminisha mtu kwa kutumia maneno ya kashfa unaweza usipate suport kwani watu wenye akili zao timamu hawawezi kukuruhusu uwe kiongozi wao awe mtu wa kutoatoa kashfa Hadhalani...

3. Ninauhakika DR. SLAA hakukifurahia kitendo kile hata kidogo,,

Kwa hiyo NG'IHILI alikosea na sisi tusiwe na ushabiki wa kijinga wa kichama,,

Tena hapa wewe ndiyo unaonekana unakosea kwa sababu ya huo huo ushabiki wa kijinga wa kichama
 
Ivi hawajui kuwa ndo wanampa umaarufu uyo jamaa.
Kama methali nazo ni matusi basi CCM watuletee kamusi yao ya KiswaCCM
 
Kizuri kipi? Heri mtu mmoja "atukanwe" au Watanzania wote watukanwe na mtu mmoja??
 
Tukumbuke hata Mchungaji Mtikila alimwambia Rais wa nchi kuwa alikuwa MPUUZI... likaonekana tusi akafunguliwa kesi na baadaye Mchungaji akashinda baada ya mahakama kupata mzizi wa neno lenyewe..

hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!! so Rev Mtikila aliprove hiyo RED ya mkuu?
 
jamani lipi bora kumchagua Kikwete au Slaa?

UCHAGUZI MWEMA J PILI<< MIMI SITAKUWEPI KWANI L+NILIIBIWA KITAMBULISHA NA VIBAKA""
 
Back
Top Bottom