BBC wamemsusa Slaa kabisaaaaaaa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BBC wamemsusa Slaa kabisaaaaaaa!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Gurudumu, Oct 26, 2010.

 1. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Jioni hii BBC wamemsusa dr Slaa hawajatangaza chochote kuhusu yeye. Wameokoteza vitu vya ajabu ajabu ambavyo havina mvuto kufananisha na jinsi Slaa alivyoteka tz Leo
   
 2. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wako ktk mchakato wa uchakachuaji ambao nchi kubwa tajiri inasaidiana na CCM. Wataaibika mwaka huu hata wasitangaze ataapishwa bila kupenda maana hagombei urais wa BBC anagombea urais wa Tanzania
   
 3. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Wanawasiliana na Tido hao. wanajua kuwa na wao wakistaafu BBC wanaweza vutwa pale TBC
   
 4. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,071
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  bado wanajisumbua maana hawatuzuii kumpa slaa kura jumapili tupa kule tusonge mbele mkuu
   
 5. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walimalizia kipindi kwa style zao za maelekezo ya chama cha maiti
   
 6. E

  EDOARDO Senior Member

  #6
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hayo ndo yanadhihirisha ukweli kuwa mwenye nacho huongezewa, na asiye nacho hupokonywa alicho nacho. Lakini hapo BBC wamechemsha maana Slaa ana watu kibao walioko makini. Kutomtangaza kwao sio issue sana.
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 420,741
  Trophy Points: 280
  Baada ya October 31 watamjua yeye ni nani................Ni Raisi wa tano wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania.......................
   
 8. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,085
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  mmeshtukia enhee? vibaraka wa Tido
   
 9. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  KUANZIA KESHO BBC watakuwa wanachambua kuhusu UCHAGUZI WA TANZANIA
   
 10. Expedito Mduda

  Expedito Mduda JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Unajua haya ni mambo yenye mwelekeo wa kifisadi tu! Fisadi akikalia kiti huwa hali peke yake maana huwagawia na wenzake ili wafurahi pamoja. BBC kuna Watz wengi. Baada ya kuona Tido amestaafu na akapewa kazi wanajua nao wakistaafu watapata maana wanahisi hiyo ni mali ya akina Ridhiwani na akina Miraji
   
 11. g

  geek Member

  #11
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwanzo nilikuwa siamini kuwa baadhi yetu hapa JF tunapenda uzushi, haya mnayoyasema ni kujifurahisha au mna uhakika nayo? sikilizeni matangazo kwanza muone CHADEMA na Slaa wamesikika mara ngapi kabla ya kugombana na keyboard zenu. Dr Slaa kapewa over 30 minutes siku ya Alhamisi, zaidi ya hapo mnataka nini tena? Namna hii tunadharaulika.
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  I see
   
 13. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hata kama BBC wasipomtangaza Slaa sisi tumeshamtangaza Slaa kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza lake la mawaziri lenye watu makini tayari. Kazi kwenu vibaraka wa BBC, Si unajua tea wakiwa kule waliko wanajidai kujiunga umoja wa ccm. Mh. Mwanaid Maajar alihakikisha ameweka matawi ya CCM imara kule. After all hao hawapigi kura jumapili, sasa wasitishe lolote.
   
 14. C

  CLAY KITUMBOY Senior Member

  #14
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dreams,dreams ,dreams,sweet dreams.
   
 15. C

  CLAY KITUMBOY Senior Member

  #15
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  President Kikwete is tipped to win another term in office in these elections, but with a smaller margin than the 80% he scored last time round-:smile-big: Habari ndio hiyo
   
 16. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  ivi tido kama dr.slaa au lipumba watashinda, ataenda wapi, atakimbia nchi, manake atakuwa hana kazi. pia, mafisadi watakimbilia wapi...sipati picha.. ni sawa na unakutana na mtu barabarani kipindi mkeo ana mimba, unamtukana na kumpiga vibao kabisa, wiki inayofuata mkeo kashikwa na uchungu unenda hospitali mkeo anahitaji upasuaji, unashangaa yule mtu uliyempiga kibao ndo dr wa mkeo, na ndo atakayefanya kila kitu juu ya mkeo...bila shaka unaweza kujikuta umenyong'onyea kam auyoga uliopigwa na jua....
   
 17. Nkoboiboi

  Nkoboiboi JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama hamjui sababu kumbuka walivyofanya Zimbabwe!!!!!!! Uchaguzi waliulipotia mpakani mwa SA!!!!!!!!! Eric ameshwekwa rumande mara ngapi????? hawajipendi nini?????????? Hawa ni Wakenya (Kasoro Charles) walishaumwa na nyoka!!!!!!!!!

  Mmeijua hiyo:yield::yield::yield::yield::yield:
   
Loading...