Elections 2010 Msafara wa Mama Salma wazua kasheshe Arusha....

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Jana wanazuoni wa Uhazili Tabora walijikuta wakisweka lupango kwa muda wa masaa kadha wa kadha baada ya kinachosadikiwa kumwonyesha alama ya "V" Mama Salma alama ambayo inatumiwa kukinadi Chadema..........

Hata hivyo polisi walidai mabinti hao wasomi waliingilia msafara wa mama Salma lakini hilo lisingewezekana kwa sababu wasomi hao walikuwa wakitembea kwa miguu baada ya kupaki magari yao kule Azimio Makumbusho...

Baadhi ya mapolisi walidai kichinichini kuwa wamepata tetesi ya kuwa wakina dada hao wameletwa na Chadema waje kupiga kura haramu wakati siyo majimbo yao.....

Iliwachukua masaa kadha wa kadha kwa walimu wao na wasamaria wema kuishawishi polisi hapa Arusha kuwaachia wasomi hao waendelee na shughuli zao.......
 
yaani mtu kuonyeshwa alama ya victory imekuwa matusi, haya tutakiane uchaguzi mwema
 
Jana wanazuoni wa Uhazili Tabora walijikuta wakisweka lupango kwa muda wa masaa kadha wa kadha baada ya kinachosadikiwa kumwonyesha alama ya "V" Mama Salma alama ambayo inatumiwa kukinadi Chadema..........

Hata hivyo polisi walidai mabinti hao wasomi waliingilia msafara wa mama Salma lakini hilo lisingewezekana kwa sababu wasomi hao walikuwa wakitembea kwa miguu baada ya kupaki magari yao kule Azimio Makumbusho...

Baadhi ya mapolisi walidai kichinichini kuwa wamepata tetesi ya kuwa wakina dada hao wameletwa na Chadema waje kupiga kura haramu wakati siyo majimbo yao.....

Iliwachukua masaa kadha wa kadha kwa walimu wao na wasamaria wema kuishawishi polisi hapa Arusha kuwaachia wasomi hao waendelee na shughuli zao.......
Mkuu Ruta,
Hebu fafanua hii maneno...Ni Arusha AU UHAZILI-TABORA?
 
Makubwa!! Habari za siku hizi zimechakachuliwa kama wanasiasa wenyewe. Hakuna wa kuaminika, arusha au tabora???
ushabiki mwingine bwana? au ni typing error?
 
Samahani jamani, naomba mnisaidie maana ya neno "TUSI" maana sasa naona kila mtu anakimbilia hicho!!!!!
 
Jana wanazuoni wa Uhazili Tabora walijikuta wakisweka lupango kwa muda wa masaa kadha wa kadha baada ya kinachosadikiwa kumwonyesha alama ya "V" Mama Salma alama ambayo inatumiwa kukinadi Chadema..........

Hata hivyo polisi walidai mabinti hao wasomi waliingilia msafara wa mama Salma lakini hilo lisingewezekana kwa sababu wasomi hao walikuwa wakitembea kwa miguu baada ya kupaki magari yao kule Azimio Makumbusho...

Baadhi ya mapolisi walidai kichinichini kuwa wamepata tetesi ya kuwa wakina dada hao wameletwa na Chadema waje kupiga kura haramu wakati siyo majimbo yao.....

Iliwachukua masaa kadha wa kadha kwa walimu wao na wasamaria wema kuishawishi polisi hapa Arusha kuwaachia wasomi hao waendelee na shughuli zao.......

Ruta.......UMECHAKACHUA
 
Inawezekana ni habari kamili endapo hao wanachuo walikuwa ktk special trip hapo arusha.
tumsubiri RUTA atuhabarishe zaidi
 
AZIMIO?? MAKUMBUSHO?? TABORA ??? ARUSHA????
1.tabora kuna azimio,makumbusho....hapana.
2.arusha kuna chuo cha uhaziri tabora....hapana
 
Hao wanafunzi, wanasoma hapa kwetu Chuo cha Uhazili.

Kwa sasa wako Arusha na sijui kwa shughuli gani. Ndiyo maana wakaambiwa kuwa "wameletwa na Chadema ili waje wapige kura" na hapo ndipo wakakumbana na Mama Salma Kikwete na wakampa alama ya V. ambayo ilisababisha wakamatwe na kuwekwa Lupango.

Kila kitu kimefanyika ARUSHA ila sema tu hao ni Wanafunzi wa Chuo Cha Uhazili Tabora waliopo sasa hivi ARUSHA.
 
Jana wanazuoni wa Uhazili Tabora walijikuta wakisweka lupango kwa muda wa masaa kadha wa kadha baada ya kinachosadikiwa kumwonyesha alama ya "V" Mama Salma alama ambayo inatumiwa kukinadi Chadema..........

Hata hivyo polisi walidai mabinti hao wasomi waliingilia msafara wa mama Salma lakini hilo lisingewezekana kwa sababu wasomi hao walikuwa wakitembea kwa miguu baada ya kupaki magari yao kule Azimio Makumbusho...

Baadhi ya mapolisi walidai kichinichini kuwa wamepata tetesi ya kuwa wakina dada hao wameletwa na Chadema waje kupiga kura haramu wakati siyo majimbo yao.....

Iliwachukua masaa kadha wa kadha kwa walimu wao na wasamaria wema kuishawishi polisi hapa Arusha kuwaachia wasomi hao waendelee na shughuli zao.......

Arusha au Tabora
 
mimi wataniweka ndani maana sitaonyesha V peke yake...! Nitaanza na dole la kati
 
Back
Top Bottom