OMBI: Kujitolea kuwa mwangalizi wa uchaguzi siku ya Jumapili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

OMBI: Kujitolea kuwa mwangalizi wa uchaguzi siku ya Jumapili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maxence Melo, Oct 27, 2010.

 1. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  Wakuu,

  Kwa wale ambao wapo Dar es Salaam, tunaomba wanaoweza kujitolea na kushirikiana nasi kwenye uangalizi wa uchaguzi tuwasiliane ili tuweze kuifanya kazi hii kwa ushirikiano na kwa ufanisi zaidi.

  Kituo kitakuwa LHRC (Kijitonyama) na tunaweza kuwapa training ya haraka kwa siku ya Ijumaa na Jumamosi kabla ya kufanya shughuli yenyewe rasmi siku ya Jumapili.

  Walio tayari wanaweza kuwasiliana nami kupitia:

  maxence.melo@jamiimedia.com
  au +255 713 444 649

  Shukrani
   
 2. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,142
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  ni kwa wa dar tu mkuu ?
   
 3. M

  MC JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Mkuu nimekutumia Email,

  Watu wa CHADEMA, pamoja na kuwasiliana nao hata kabla sijaja TZ na kuwambia niko tayari kujitolea kwa maswala ya kulinda kura na mambo kama hayo, na kujaribu kuwatafuta baada ya kufika hapa Dar, nimeishia ku-conclude kuwa wako so busy!!! na ni kweli wako busy anyway!

  So count me in I'm more than happy to help from JF angle.


  Thanks,


  MC
   
 4. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mimi mgeni humu, huku kujitolea hakuna sifa zozote, kwa mfamo uwe mwanachama wa chama fulani, umri, shule n.k wengine hatujui kusoma ebo!
   
 5. v

  vickitah Senior Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa mfano nikijitolea kura yangu inakuwaje sasa' maana lazma niitwange siku hiyo.. km naweza kusimamia afu na nkapiga na kura yangu naomba nkutafute kesho mapema tuu'
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Asante Max nisingekuwa nje ya nchi ningeshiriki
   
 7. C

  Chuma JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2010
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Umeondoka lini BUKOBA?...mambo yako kama "Lunyungu"
   
 8. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Lunyungu ni ID yangu nyingine. Lakini niko nje ya nchi hadi uchaguzi uishe. Kwi kwi kwi kwi kwi
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mikoani vip?
   
 10. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii ni hatari.

  Mtajuaje mtuma maombi ni muadilifu na hajavaa ngozi ya kondoo?
   
 11. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Napiga namba yako haipatikani. Mimi ningefurahi kuwa mmoja wao, je nitapiga kura kwanza au hakuna kupiga kura ukiwa mwangalizi?
   
 12. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nani amekuandikia hapa?
   
 13. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,508
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Hiyi kweli siyo too late...................Anyway, MS tafadhari usijitokeze!!!
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Max... tuko pamoja sana
   
 15. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Mtajuaje waliokuja ni wasafi nasio akina subira, zawadi ngonda, jeikei, MS, njiwa nk??
   
 16. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  Mikoani vipi? But sijaelewa vizuri max.Tuwe waangalizi kivipi? yaani tunahakikisha CUF hawaobi kura za TLP wala Chadema hawaibi za CCM? Naombeni darasa hapa jamani
   
Loading...