Maendeleo hayaji bila mabadiliko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maendeleo hayaji bila mabadiliko

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mkweli H, Oct 29, 2010.

 1. M

  Mkweli H New Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Navyamini mimi hakuna taifa lililopata maendeleo bila mabadiliko ya kisera na kiutekelezaji wa sera hizo kwani huenda sera zikawa zinafanana ila watekelezaji hawawezi kuwa sawa kwani wanadamu hatulingani kwa kila jambo!!
  Kwa mtazamo wangu naamini Tanzania ya leo inahitaji mabadiliko hayo na sababu ziko wazi na zaidi ya miaka 50 sasa kwa mtu mwenye akili timamu huwezi mweleza kuwa Tanzania inapiga maendeleo yanayostahili kuwapo kulingana na utajiri mungu alotubariki hivyo basi wakati umefika sasa kama mkoloni tulimwondoa iweje iwe chama tu!!!
  WAZEE WAACHE UOGA ETI LABDA KUNA BAYA LITATOKEA.....
  WANAWAKE SI MUDA WAKUDANGANYWA NA VIJIZAWADI....
  VIJANA WAKATI NDO HUU......
  WAZAZI ANDAENI MAZINGIRA BORA YA SIO NA TABAKA KWA WATOTO WENU....
  CHAMA MAKINI,,,, VIONGOZI MAKINI,,,
  YOTE HAYA YANAWEZEKANA KWA KUTUMIA HAKI YAKO YA MSINGI TAREHE 31
  TUKAPIGE KURA
   
Loading...