Elections 2010 Tujiulize rasmi: Kwa lipi hasa tumchague jk?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,880
2,758
Napatwa kigugumizi cha akili. Kwa masaa haya machache yaliyobakia, jk ana lipi jipya? Najiuliza hao walalahoi wenzangu wanaomshabikia amewapa nini? Nafika ukomo wa kufikiri katika hili. Inakuwaje wengine tunataka mabadiliko na wengine hawataki? Au tunasikia tofauti? Nashindwa kuamini baada ya yote haya bado kuna MASIKINI Tanzania hii anaikenyulia ccm. Watanzania wajue kwamba fursa kama hizi ni adimu sana. Nawatakia uchaguzi mwema. Tuchague mabadiliko. Halafu kuna sistaduu mmoja kashika kipeperushi cha jk anajipepea nacho (niko kwenye daladala). Ananiboa sana
 
Nilipata fursa ya kumhoji baada ya kukaa jirani yangu. Katokea jangwani. Ana kofia, hicho kipepeo, CD 2 za ccm n.k. Hana sababu ya msingi ya kumpigia au kutompigia jk. Kwamba jk amezoeleka na ni ngumu kumtoa madarakani. Sio yeye tu. Vijana tuliokuwa nao kwenye gari hawaamini kama jk anaweza kung'oka. Sijui wasaidiweje wakath muda ndio umeisha
 
Back
Top Bottom