Uchaguzi 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi 2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Harrieth, Oct 30, 2010.

 1. H

  Harrieth New Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 28, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wa TZ tumuombe mwenyezi mungu uchaguzi wetu uwe wa uhuru na amani. Wote wenye nia mbaya washindwe. Tujiandae kumsindikiza Kikwete kwenda kuapishwa
   
 2. LD

  LD JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sijiandai hata kidogo, wala simsindikizi.
   
 3. J

  Jafar JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ...... kumsindikiza kwenda Msoga .......
   
 4. M

  Msharika JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huna haibu, Harrieth, Labda ukaibe kura. La sivyo jiunge nasi kumsindikiza shujaa, kiboko chao Dr halisi W.P.Silaa

  qpijye.jpg
   
 5. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwanini Kikwete na Siyo yule atakayechaguliwa na wananchi?:A S-baby:
   
 6. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Taifa la Tanzania litaongozwa na Dr wa ukweli sio mafisadi tena, lazima tukubali mabadiliko. tumeichoka ccm
   
 7. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  mang'ati lake pori ikulu ataisikia tuu
   
 8. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kikwete hafai kuwa rais wetu kwa vigezo vyovyote!! rais anakwenda hadharani akitafuna Big G!!!!!! mi nasema huyu si rais wangu tena kuanzia kesho nitakapo hamisha kura yangu kutoka ile niliyopiga 2005 na kumpigia Dk. Slaa
   
 9. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Napenda watu wakweli. Wasiokubali ukweli angalia majibu yao. Ila uhalisia ndiyo huo. Na tunmwomba JK asiwe na kinyongo na wapinzani wake.
   
 10. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #10
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Nimeshatua mjini. Bado nina uchovu wa kusumbuliwa njiani hapo uarabuni, ila kesho kura yangu ndani ya sanduku. JK safari njema, karibu WPS(PhD)
   
Loading...