"Tumejiandaa Kulinda Kura zetu" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Tumejiandaa Kulinda Kura zetu"

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Wa Ndima, Oct 30, 2010.

 1. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Jamani jambo jema ni kuwa, muda huu nimetoka kuongea na Mwalimu wangu wa shule ya msingi ambaye ni msimamizi wa uchaguzi. Anasema tayari wapo kituoni wakiandaa mazingira ya upigaji kura na masanduku yashafika wanasubiri kukabidhiwa.

  Cha muhimu alichosema ni kuwa wanataka Mabadiliko na wako pale kwa shughuli maalumu tu ya KULINDA KURA ZAO dhidi ya mafisadi. Kwa kuwa walitishwa na aliyekuwa mwajiri wao nao leo wanataka kuhakikisha mwajiri huyu anajutia kuwahadaa. Nimefarijika mno kwa maneno yake.
   
Loading...