Age below 40yrs baandi yetu hatuoni majina yetu katika vituo vya kupigia kura

CalvinPower

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
1,571
883
Age 40yrs and below wengi wetu hatuoni majina yetu katika vituo vya kupigia kura. tufanyeje?
 
langu nimeliona ... kuna namba NEC wametoa sikiliza redio zote wanaitangaza hiyo namba
 
thx for your quick reply, please naomba unipe hiyo namba fasta, mimi hapa nilipo sina redio. nipo job
 
Hata kama hajaona jina kesho nenda kituo cha kupigia kura. watarekodi waliokosa majina yao kwa ajili ya action zaidi...
 
Wewe usikate tamaa nenda kesho kapige kura jitahidi uende mapema kuna msimamizi msaidizi ktk kituo atakusaidia.Usikubali kupoteza nafasi hiyo ikiwezekana waambie na wenzako wenye shida kama hiyo.Pia zingatia ushauri wa CALVINPOWER hapo juu weka namba yako utapata kituo sasa hivi.Usikose kuweka historia ya kushiriki kubadilisha serikali
 
Andika namba yako iliyoko kwenye kadi ya kupigia kura na utume kwenda 15455,utapata majibu fasta.Kama una line ya zain ndo nimeona inaleta majibu haraka compared to tigo line.
 
Andika namba yako iliyoko kwenye kadi ya kupigia kura na utume kwenda 15455,utapata majibu fasta.Kama una line ya zain ndo nimeona inaleta majibu haraka compared to tigo line.

Sasa hii nikupashe sasa nami nimekutana nayo live njiani kuna mtu akaniuliza alimtuma mtu kwa simu akamwangalizie jina lake kuwa atafika shy leo jioni na kesho apige kura cha ajbu akambiwa jina lako halipo na kutumia hiyo namba uliyo toa hapo jina lake likaoneka liko Dar ilala sasa hapo ndipo changa la macho lina kuchukulia NEC wameonyesha live filimeeeeee mchana kweupeeeeeee teh teh teh teh

Na ndio maana nimewambia hiyo mitandao inaingizwa katka swala zima la kuhesabu kura na hamjawahi test hilo zoezi mtaliwa fulu live huku mwaona na niliwaambia siku mmoja makampuni ya simu yalisha pewa maagizo juu ya zoezi hilo.

Hiyo kesho nadhani vituoni kutatokea machafuko kwa kweli kama hali ndio hii. sasa mtu jina lako halionekani halafu huyo msimamizi msaidizi asikusaidie tatizo lako si unaweza kuanzisha fujo hapo kituoni, maana bwana watu tupo tofauti.
 
Nilimejaribu kupiga sim na kutuma namba yangu ya kitambilisho cha kupitia kura nikaambia nilikufa august 2007. Du hii kweli siielewi mbaya zaidikitambulisho changu kimechakaa sana kiasi kwamba Yale maandishi ya handwriting hayasomeki Bali namba tu ya kadi ambayo ni printed.
 
Majina yamebandikwa since last week, siku zote hizo hujahangaika mpaka leo. Na kitambulisho ni kama ulivyosema hapo juu... .
Wewe sio mtu makini ... utakasirika , lakini ukweli ndio huo, maana hata hujui umuhimu wa hicho kitambulisho cha mpiga kura.
 
Back
Top Bottom