Breaking News : TPDC na Ophir wagundua Gas mpya Deep Sea , East Mafia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking News : TPDC na Ophir wagundua Gas mpya Deep Sea , East Mafia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpendanchi-2, Oct 30, 2010.

 1. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wakati Zanzibar Wakiendelea na Ubishi wa Mafuta yao, ambayo hawajawahi hata kuyaona wala kufanyia utafiti !!! Wataalam wa TPDC ( Tanzania Petroleum Development Corporation ) wakishirikiana na kampuni ya Australia, wamegundua kiasi kikubwa sana cha Natural Gas , reserve mpya kabisa East Mafia Deep Sea kwenye maji kina 1500m na kuchimba kisima chenye urefu wa 4600m from sea bottom. Hii ni habari nzuri kwa uchumi wa Tanzania.


  TPDC, Australian firm find traces of oil off Mafia Island
  By The guardian reporter  30th October 2010


  [​IMG]
  Email  [​IMG]
  Print  [​IMG]
  Comments
  [​IMG]
  Prosper Vistus, acting Energy Commissioner in the Energy & Minerals ministry, briefs journalists in Dar es Salaam yesterday on natural gas exploration on Mafia Island.Looking on is Tanzania Petroleum Development Corporation managing director Yona Killagane.(Photo: Tryphone Mweji)  TanzaniaA Development Petroleum Corporation (TPDC), in collaboration with Ophir Energy, an Australian oil drilling company, has discovered traces of oil and natural gas on the east of Mafia Island’s deep sea in Coast Region.
  The exploration started in 2005 and in 2006/10, the company gathered statistics on an area of 8,067km and 3,677km respectively a clue which helped it the oil and gas discovery at Pweza 1’s 4,600 meter-deep borehole.
  Assistant Energy Commissioner, Petroleum and Gas, Prosper Victus, told journalists that the agreement between TPDC and the foreign company was to drill three wells at Pweza 1, Chewa 1 and Chaza 1 on Block No 4 and another one if there was any success in the initial boreholes.
  Victus said that it was the first time for Tanzania to discover natural gas in the Indian Ocean deep sea.
  The acting commissioner said that natural gas prospecting in Lake Tanganyika in the western part of the country was still going on where five foreign firms are carrying out prospecting and were at different stages.
  He said that the companies would drill at least ten wells between September and December next year at a cost of USD500m.
  According to him, the discovery of natural gas in the deep sea would put Tanzania in a position of establishing gas processing projects and start exporting products.
  He said since Tanzania started mining natural gas at Songo Songo in July 2004, it had saved more than USD2bn in foreign currency.
  Besides, natural gas contributed to more than 45 per cent of electric power generated in the country, he said.
  On his part, TPDC Managing Director Yona Killagane said that attracting investors is one of the benefits of discovering natural gas, adding that all the costs of exploration would be met by the investors.
  He said natural gas investment will focus on energy production for use in industries and other sectors as well as domestically.
  Besides, he said the discovery of gas is expected to help improve exploration in the country’s deep sea.
  Killagane said further that natural gas could generate up to 345MW a day with the use of close to 90 million cubic metre of the resource.
  More than 30 companies are using natural gas locally for industrial processes, he said, adding that the government is also in the process of changing cars that use diesel and petrol to use gas as a way of conserving fuel.
  “Our plan is to ensure that the government reduces funds spent in importing fuel by embarking on natural gas use, which is affordable,” he said.
  In another development, the TPDC Director of Exploration, Production and Technical Services, Halfani Halfani, said Tanzania’s natural gas reserve stood at 1.1 trillion cubic feets and could be explored for 40 years.
  SOURCE: THE GUARDIAN
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  kWELI HABARI HIYO NI NZURI,LAKINI TATIZO ITATUMIKA KWA UFANISI KUPUNGUZA UMASIKINI TANZANIA!AU ITAKUWA MALI YA MAFISADI KWA FAIDA YA MAFISADI!!
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ni kheri ata kama wasingeligundua bse hayatakuwa na faida kwetu wote bali kwa watu wachache
   
 4. M

  Matarese JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkuu Mpendanchi, mbona hizo story mbili zinatofautiana, hapa chini wameandika traces of oil, wewe wasema kiasi kikubwa sana, sasa tuamini lipi, hebu weka sawa kidogo mkuu.

  Sina uhakika sana kama ni habari nzuri kwa uchumi wetu kama mambo yenyewe yataendelea kuwa kama yalivyo. Unakumbuka gasi ya songosongo ilipovumbuliwa walisemaje? kwamba sasa tatizo la umeme Tanzania litakuwa historia, lakini ah, Mungu atusaidia bado tupo kwenye mafuta ya uarabuni wajanja wamefanya vitu vyao.
  Labda sisi watz tukubali kubalika ndio tutanufaika na rasilimali hizo, ila kama tutaendelea kuwa kama tulivyo, imekula kwetu wala hiyo gas haitatusaidia kitu!
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,525
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  tutakuwa tunapata % tatu ?? mali nyingi ni z mafisadi bro labda kesho tuwatoe
   
 6. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Sisi si wa kuambulia 3% na kama kuna hasara tuibebe wenyewe?
   
 7. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2010
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0


  Mwandishi amejichanganya tu, title kasema trace oil, wakati ndani anaongelea gas discoveries. Ukweli ni kwamba wameona trace oil and large deposite of gas , kwenye pay zone thickness ya 60m. angalia nipashe hapo chini utaelewa.  Alisema kuwa kampuni hiyo inafanya kazi kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) ili kubaini maeneo kadhaa ambayo jiolojia imeonyesha uwezekano wa kuwepo kwa mafuta na gesi.
  Alisema katika kipindi hicho kampuni hiyo imekusanya takwimu za mtetemo takribani kilometa 8067 na 3677 kilometa za mraba ambapo waliweza kubaini maeneo ambayo yana gesi. Alisema Septemba mwaka huu kampuni hiyo ilishirikiana na kampuni ya BG ya Uingereza kukodisha chombo cha kuchoronga visima vya utafutaji ili kufanya utafiti wa kutosha katika visima hivyo.
  "Uchoraji huo ulianza kwenye eneo la kwanza liitwalo pweza katika kitalu namba nne kusini mashariki ya kisiwa cha Mafia kwenye maji ya kina cha mita 1440 ambapo kisiwa hicho kilitarajiwa kuchorongwa hadi mita 4600 chini ya bahari," alisema Victus.
  Alisema kuwa mpaka sasa chombo hicho kilifanikiwa kukuta gesi asilia mita 60 kwenye miamba ya mchanga takriban mita 2625 chini ya bahari katika kisiwa cha Pweza.
  "Hivi sasa chombo hicho kinaendelea kwenye eneo lingine takribani kilometa 20 katika kisiwa kingine cha pili cha Chewa ambapo wataendelea kuchoranga kitalu cha tatu cha Chaza ili kubaini mafanikio ya gesi iliyopo ardhini," alisema.

  CHANZO: NIPASHE
   
 8. gillard

  gillard JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 227
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  ni afadhali isingegundulika mana haina manufaa yoyote kwa wa tz wataendelea kufaidi wachache!
   
 9. idea

  idea Senior Member

  #9
  Oct 30, 2010
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 120
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nafikiri ni oil sio gas kwani exploration ya oil ndio iliyopo pale ndagoni Mafia. Hatimaye wametoa jibu maana ilikuwa bado kujulikana kama ipo au la!
   
 10. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo letu si ugunduzi mpya, tujiulize hata tulivyokwisha gundua vimetusaidia nini hadi sasa?
   
 11. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,468
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Wakuu kuna tatizo la waliolipoti hii habari haieleweki vizuri.Pammoja na hayo ugunduzi utakuwa na maana kama wananchi waliowengi watanufaidika na hayo mapato,vile vile tusitegemee mgao tu wa malighafi ya mafuta au gesi asilia.Makampuni,taasisi,Vyuo vikuu,Nguvukazi za wananchi wazalendo wapewe kipaumbele kwenye kandarasi mbali mbali zinazohusu shughuli hizo.
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Dude,

  Hivi ya waznz yanawachoma sana eeh?? At least Znz hakuna utawala wa kifalme kama huku kwa akina kilaza JK na ukoo wake na maswahiba zao. Prospects za Znz ni more promising kwa sababu wamestukia masultan wa huko kwenu bara wanaotumia siasa kama smoke screen kujineemesha. Znz at least wameshaweka chini tofauti za siasa pale mustakabali wao unapokuwa matatani.

  Do you know whats happening in Saudia ?? nchi tajiri lakini wananchi maskini..wanaofadika na mafuta ni wale waliopo juu kwene pyramid ya ufalme na utawala, thats what is happening and is going to happen in Danganyika-land. Pamoja na gesi kuzalishwa nchini na wanasema inachangia 45% kwene gridi ya Taifa, jiulize kwanini bei ya umeme bado inekwea tu kuelekea angani?? Go figure.
   
 13. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Taratiiib..., MDA SI MREFU...ngoja FISADI papa mmoja aikamate hiyo dili toka Serikalini (kupitua tenda kama zile za Karamagi - hotelini ulaya), kama hatutabaki na harufu tu. Hawa jamaa ni damu mbaya...

  Neema kwa Taifa huwa inageuziwa kampuni binafsi na Serikali ndio inaanza kutozwa kodi au kupewa tu ka-mrahaba ka 3%...si tunajua Madini yetu tunavyofaidika??
   
 14. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,994
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  May mwaka huu Ngeleja alisaini mkataba na hii kampuni wenye thamani ya bilioni 7.Kama hiyo bilioni 7-ambayo inazidi bajeti- niya exploration, development and operation, hakuna cha pongezi kwa sababu tunakuja kuachiwa mashimo.
   
 15. R

  Reyes Senior Member

  #15
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari za huzuni kwa watanzania maana inauma sana wazungu mafisadi wakishirikiana na mafisadi wazawa kupora mali zetu. bora zingebaki ardhini milele kuliko kuibiwa
   
Loading...