Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nadhani Tanzania kuna upumbavu na upuuzi usioweza kuelezeka. Kuna haja gani ya kumsubiri Mwenyekiti Tume ya Uchaguzi aliyeko Dar es Salaam atangaze matokeo huku watu walikopiga kura...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu wana jf ,kila mtu atakubaliana nami kuwa kuna umuhimu wa kuanzisha operesheni 'utalii' kama ilivyokuwa operesheni sangara.nasema hivi kwa sababu mikoa muhimu ya kiutalii mfano Arusha na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yaani hata Hapa US wameanza kupiga kura za mid-term elections leo na matokeo ni leo leo. Tanzania watu wameanza kupiga kura Jumapili na hadi leo J'nne results za kueleweka hakuna. NEC mnapika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa habari ndani ya Mwananchi, Bwana Kinana amekiri kuwa CCM imepoteza viti 29 Tanganyika na 22 Zanzibar. Anasema urais wanashinda kwa asilimia 78.4. Hii inaonyesha jinsi gani matokeo...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
:israel::israel::israel::israel:MBUNGE MMOJA WA CHADEMA NI SAWA NA WABUNGE 30 WA CCM. KWA MAANA HIYO WABUNGE WATANO WA CHADEMA WALIKUWA SAWA NA WABUNGE 150 WA CCM. :A S-baby::A S-baby::A S-baby::A...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Njombe East DEO SANGA CCM 29,644 ALATAGA NYAGAWA CHADEMA 9,781 GODFREY MGOLE CUF 300 Njombe Magharibi GYASON LWEGE CCM 29,743 THOMAS NYIMBO CHADEMA 13,483 MHANGA MCHANO...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Maoni ya katuni Watanzania wengi jana walijitokeza kupigakura kuwachagua rais, wabunge na madiwani kwa amani na utulivu. Tunawapongeza sana wananchi kwa kujitokeza kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ili NEC iwe huru na haki Bunge lijalo ambalo naamini sasa lina wabunge wakutosha kutoka vyama vya upinzani, washinikize WAJUMBE WOTE WA NEC WAPITISHWE NA BUNGE, PIA TAKUKURU, WASIPOFANYA HIVYO NI...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi siamini kama kuna mtanzania anayejua ni nani chaguo la watanzania katika kura za Uraisi na uchakachuaji umefanywa na NEC wakishirikiana na wasimamizi wa uchaguzi majimboni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa habari za tetesi zilizotoboka toka kwa umoja wa wakinamama ccm yasemekana kuwa hawakufurahishwa na ujio wa nakaaya na kwamba wanadai hamna nafasi ya binti huyo wa bongo fleva kuingia bungeni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani habari kutoka Makiungu Singida, mdogo wangu ambaye alikuwa mmoja wa mawakala wa Chadema anasema Lissu anongoza kwenye vituo vingi zaidi ya marambili ya mgombea wa CCM, Jonathan Njau...
0 Reactions
197 Replies
26K Views
Nimetaja CCM kwa sababu jana nilikaa na askari polisi pale ubungo kwenye vurugu ambaye alikuwa analalamika kuwa ucheleweshaji wa matokeo unasababisha vurugu lakini wa kulaumiwa ni NEC. Na walikuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nasikia swala la ID card tanzania ni deal la bilioni 53 ndio maana kuna viongozi walioshindwa wanajaribu kuwarudisha kwanguvu ni kampuni ya kutoka nje europe wamepewa deal.wadau kama mnaijua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini matokeo ya kura za Urais na dhahiri kuwa Kikwete anampita Slaa kwa mbali. Bado nashindwa kuamini lakini tumepoteza mpaka sasa unless kama kuna mtu anayeweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wana JF wenzangu naomba nisaidieni na mnijuze matokeo ya majimbo haya kwa yeyote mwenye nayo. Nawakilisha
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wenye habari za Temeke mambo yakoje huko maana niliskia jana kulikuwa hakukaliki
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Akihojiwa na ITV baada ya kutangazwa mshindi wa ubunge kwenye jimbo la Sikonge aliyekuwa Spika wa bunge SS ameuponda utaratibu wa NEC wa kuchelewesha matokeo kwa kisingizio cha teknolojia mpya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Imeniwia vigumu kidogo kuona mgombea urais wa CCM Mh. Kikwete akimpongeza Dr. Shein then kisha anasema " serikali ya muungano tutashirikiana nawe" Ni vema ikaendela kusemwa endapo nitashinda basi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa vituo takribani 52, 000 Chadema ilipaswa kutumia bilioni tatu kuwalipa mawakala kwa vituo vyote nchi nzima na kwa shilingi elfu hamsini kwa kila wakala.................kwa kutofanya hivyo na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…