Elections 2010 Kikwete anamaanisha nini kwa kauli hii?

Mtaka Haki

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
492
149
Imeniwia vigumu kidogo kuona mgombea urais wa CCM Mh. Kikwete akimpongeza Dr. Shein then kisha anasema " serikali ya muungano tutashirikiana nawe"
Ni vema ikaendela kusemwa endapo nitashinda basi ..... ...
 
Back
Top Bottom