WanaJF naomba mnipokee jamvini nimerudi nikitoka kifungoni nikiwa mpya na mawazo ya kujenga nchi yetu tu. Wale wote niliyowakosea/kuwakwaza kutokana na michango yangu kipindi cha nyuma, naomba...
wanajamii naomba kupokelewa jamvini,mimi ni mgeni hapa!ndugu zangu wana JF hapa russia kuna tawi la ccm,wameandaa sherehe za kumpongeza rais jk kwa ushindi hafifu aliopata katika ubalozi wetu hapa...
Dear readers,
We are increasingly hearing reports of CCM backed victimisation of individuals, businesses and communities through the use of state organs such as the Police, TRA, local government...
Naomba uchukue walau dk kadhaa tu kutafakari na uone mantiki ya swali hili tafadhali, wengi nimewasikia tunajivunia AMANI, tena basi ni neno ambalo limeamishiwa mpaka kwenye sera za vyama heti...
MAMBO vipi mtu wangu, mpango mzima vipi, vipi weekend, ishu zinaendaje? Kuna jipya gani, mambo tambarare au ndo kila kukicha afadhali ya jana.
Namshukuru Mungu mambo si mabaya, Mungu anasaidia...
Mara kwa mara huwa nafuatilia uteuzi wa Mh. Rais re Wakuu wa Wilaya, na mara zote karibia 40% uwa ni Maofisa wa Jeshi la Wananchi.
Huu uteuzi wa wanajeshi kuwa wakuu wa wilaya ni kwa sababu gani...
Natumaini muwazima ndugu wanamchakato na poleni sana kwa kazi hii nzito ya kurekebisha na kuelimisha jamii!. kuna mkuu mmoja yuko ngazi za juu serikalini kwa ticket ya CHADEMA sitomtaja kama...
Jana, nimeona nakala ya barua ya Jaji mkuu akisema anakusudia kulipitia faili la wazee wa EAC. angalizo, (ANAKUSUDIA), sio kwamba analipitia. Nilipoisoma barua niligundua ilikua na nia ya...
Wajameni nimechelewa kuona news. Dr. Anasema sheria ni nzuri kutunga na tuzifuate. Kipengele kipi jk anapingwa? Tujuzeni mliokuwepo kwani alikuwa na press conference
Ndugu wana jamii, mimi nimekua nikufuatilia kwa karibu sana siasa za Tanzania. Nilichogundua ni kua vyama vingi sio vya upinzani ila wananchi wengi wameshindwa kugundua hilo nab ado wanawapigia...
Na Maggid Mjengwa,
KUNA wakati, katika mwaka huu, vyombo vya habari vya dunia vilimwonyesha Rais Hamid Karzai wa Afghanstan akitoa machozi hadharani. Ni pale alipotamka kwa uchungu...
Uzinduzi wa chuo kikuu cha dodoma umefanyika leo katika ukumbi wa chimwaga chuoni hapo. Katika hali isiyo ya kawaida ulinzi uliimarishwa hasa katika ukumbi huo wa chimwaga. Usalama wa taifa...
Aithee kwa kweli nina kila thababu ya kukushukuru muheshimiwa jeikey kwa kauwasiri ulikonipatia. Thatha hivi washenzi watakoma kitaani maana walishanyakua mademu wangu kitha hivyo viminithitiri posti
Jamani uchaguzi umeisha lakini ni tukio ambalo limeacha mijadala mingi vinywani mwa watanzania wote! Kuna kuchakachua! Kuchakachuliwa na mengineo mengi tu bado hayajaisha tutaendelea kujadiliana...
Kila nikukumbuka ahadi ya Mkwere ya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai huwa nacheka peke yangu.
Na sasa kudhihirisha kuwa Mkwere si mtu wa kumuamini hata chembe, ameteua Baraza la Mawaziri bila kuwa na...
WanaJF,
I thought these little facts ingenuously articulated ashumour will enlighten some of us who can not get hold of Daily news paper.
The genie wakes up! By ADAM LUSEKELO
AFTER more than 40...
Mjadala wa Kipindi cha Tuongee asubuhi utaangazia muundo na taswira ya serikali mpya kwa maendeleo na ustawi wa Taifa.
WaJF tumeni maoni, mitazamo na ushauri wenu katika mada hiyo na tutayasoma...
..kama CUF wameungana na CCM kwenye baraza la wawakilishi ni bora pia wakaungana ktk bunge la muungano.
..hatua hiyo itaondoa mvurugano ambao unaweza kutokea ikiwa CUF watakuwa ktk kambi ya...
Ili uchumi wetu ukue, lazima serikali i-create export kwa ku pump billions kwa few individuals. Individual hawa ili waweze ku-compete globally. Hii technique ndo inatumiwa sana na serikali ya...