Kwa kipi sisi kama watanzania tunajivunia kuwa watanzania? Uhsusani vijana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa kipi sisi kama watanzania tunajivunia kuwa watanzania? Uhsusani vijana?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abduel paul, Nov 26, 2010.

 1. a

  abduel paul Senior Member

  #1
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba uchukue walau dk kadhaa tu kutafakari na uone mantiki ya swali hili tafadhali, wengi nimewasikia tunajivunia AMANI, tena basi ni neno ambalo limeamishiwa mpaka kwenye sera za vyama heti tuna dumisha amani (mimi) kwa mtazamo wangu amani ya taifa letu inadumishwa na watanzania wenyewe either kwa kuridhika na mambo yanavyokwenda au kutokupenda kubugudhiwa au elimu ndogo, Elimu ndogo namaanisha km watanzania wote wangejua yaipasyo serikali na kodi wanazo lipa heti kwa kutoa huduma za jamii (sizijui mi nini zipi labda elimu ya msingi) maana mahospitali tunalipa, basi hakuna mtanzania angevumilia kuendelea kubangaiza 200/- yake kwa siku hata mama ntilie angeshika jiwe na kuitupia serikali, kwa maana nyingine ktk mahangaiko ya maisha serikali yetu inachangia kwa 80% kuleta ugumu wa maisha.
   
Loading...