Wakuu wa JAMII F. saidieni kwa hili linataka kuwa kero kwenye blog

arasululu

Senior Member
May 13, 2010
135
1
Natumaini muwazima ndugu wanamchakato na poleni sana kwa kazi hii nzito ya kurekebisha na kuelimisha jamii!. kuna mkuu mmoja yuko ngazi za juu serikalini kwa ticket ya CHADEMA sitomtaja kama alivoomba anasema amejitahidi sana kujiregister ili kuweza kuchangia mawazo na kupata sm ideas kutoka kwa wana JF but kila akijaribu anachoambulia ni; SORRY, WE ARE UNABLE TO REGISTER YOUR ACCOUNT AT THIS TIME. inakuweje hii mambo while we stil need members tena wa ngazi hzo ili kuweza kujua na kujifunza zaidi thrugh JF. AMA TAYARI BLOG IMEJAA? au kuna mchakachuaji humu ndani anaweka virus ili PIPOOS wasiingie humu?

SAIDIANENI....:target:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom