Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jennister mhagama alifanya vizuri katika nafasi ya uenyekiti ndani ya bunge lililopita na aliendesha vikao vya bunge kwa mafanikio kuliko hata Job Ndugai na pengine kuliko hata Anne Makinda...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Sources: Magazeti ya Mwananchi ya Jumapili 28, Novemba, 2010 na Tanzania Daima ya Jumapili, 28, Novemba 2010: (1) Mwananchi: Wabunge 20 wa sisiemu ni batili, wakiwemo Waziri Mkuu, Spika na Naibu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
FACT; Kweli wewe ni rais wangu ila ulipatikana kwa wizi wa kura, na mwizi ni mwizi tu hata iweje Du ukweli unauma sio, tetetetetete safi sana, call a spade a spade
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana katika mdahalo kati wamh Hamadi na Mbowe ulio rushwa live na itv mh Hamadi alitueleza kuwa walibadisha katiba ya ZNZ baada ya kupiga kura ya maoni na watu wakarizia kuanzisha kwa serikali ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
tathmini ya uchaguzi mkuu mwaka huu wa 2010 regional # of voters voters to vote kikwete lipumba slaa rungwe peter mugahywa total winner by regional arusha...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Hili swali limekuwa likitesa mtima wange. Nikitaka kupata, mathalani huduma ya kibenki ninaambiwa 'leta barua ya serikali ya mtaa'. nikienda serikali ya mtaa naambiwa leta barua ya mjumbe wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, Jana nimesikiliza mdahalo kwa makini na lazima niseme Mhe. HR alitumia nafasi yake vizuri hasa kumshirikisha Dr. Slaa kutupia makombora ya kummaliza Mhe. Mbowe. Mhe. Mbowe alijitahidi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimefuatilia maelezo ya chadema kuhusu madai mbalimbali na kupata wasiwasi kuwa chama hakina nguvu ya maamuzi bali kinategemea nguvu ya umma. Watanzani wengi si wanasiasa bali ni washabiki wa...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Madaraka matamu,hili linajidhihirisha kwa sasa kwa huyu kiongozi wa kambi ya upinzani aliyepita. Sasa ndio inajulikana wazi kwa umma wa watanzania ambao walikuwa hawajui kama kuna million 200...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
WAKATI uongozi wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ukikataa ombi la kujiuzulu kwa mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Mbeya, Sambwee Shitambala, kwa kutokidhi vigezo vya...
0 Reactions
74 Replies
8K Views
Naomba niende kwenye msingi wenyewe bila maelezo mengi... Kuhusu yaliyojiri kwenye mdahalo wa jana Baada ya Mh. Hamad Rashid kujibiwa hoja zake kwa kina na Mh. Freeman mbowe ampapo iliwekwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Miaka ya hivi karibuni tulishuhudia mwandishi wa habari kule Iraq akimtupia Rais mstaafu George W Bush kiatu akionyesha kutokukubaliana na vita vya malekani zidi ya Iraq. Ikiwa matokeo ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Imekuwa ni kawaida ya chaguzi zetu zinapofanyika kuambatana na dosari nyingi sana ambazo zinakatisha tamaa kwa wapenda demokrasia nchini.Kwa mfano uchaguzi mkuu mwaka huu uliyofanyika tarehe 31...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
waungwana husema nyota njema uonekana asubuhi, kura zinazoendelea ktk gazeti la mwananchi juu ya mitazamo ya watu ya hili baraza jipya la mawaziri hadi sasa wanaoongoza ni wale wanaosema...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ismail Jussa, mwanasiasa kijana wa Visiwani wa CUF anangojea kurithi mikoba ya ufisadi ya Rostam pindi Muirani huyo atakapotimka nchini. Wawili hawa ni maswahiba wakubwa sana na kinachoendelea...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Midaharo yote iliyoendeshwa karibia kipindi chote cha kampeni imeleta changamoto kubwa sana.Hata hivyo mdahalo kuhusu kambi ya upinzani ndani ya bunge umekuwa wa aina yake hasa katika kuonyesha ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
2010 ndio hio imekwisha sasa Kampeni inaanza rasmi kujiandaa na Uchaguzi wa 2015, mimi kama mpenda mabadiliko kwa maoni yangu mbinu zifuatazo inabidi zifanyike kuanzia sasa ili kuhakikisha 2015...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndiyo. Leo. Eneo la Mawenzi. Saa 11 jioni. Lengo ni moja tu. Kuwa kuunda serikali ya mtaa 2014. huku kwetu CCM hawauziki. hawakubaliki. Tunaomba ulinzi. Ulinzi wa polisi. Naskia. Polisi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mawaziri 16, wabunge 20 mahakamani Send to a friend Sunday, 28 November 2010 11:17 0diggsdigg Waandishi wetu SERIKALI mpya ya Rais Jakaya Kikwete iliyoanza kazi rasmi baada ya kuapishwa jana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jana Maalim Seif alihutubia mkutano wa hadhara huko Zeinj na kuwashukuru wananchi wa huko kwa kile alichoita kuwezesha kuundwa kwa " serikali ya umoja wa kitaifa." Swali hapa, ni taifa gani hilo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…