Chadema Mbinu za Kutumia Kukuza Chama Kabla ya 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema Mbinu za Kutumia Kukuza Chama Kabla ya 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VoiceOfReason, Nov 27, 2010.

 1. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  2010 ndio hio imekwisha sasa Kampeni inaanza rasmi kujiandaa na Uchaguzi wa 2015, mimi kama mpenda mabadiliko kwa maoni yangu mbinu zifuatazo inabidi zifanyike kuanzia sasa ili kuhakikisha 2015 mambo yanakuwa sawa.

  Kuhakikisha kwamba NEC inabadilika sababu hata wakipata kura 100% kwa hii NEC ya sasa ushindi utakuwa ndoto

  Kutumia wabunge wake wote na kuhakikisha wanafanya kazi nzuri sana majimboni kwao na wawe vocal ili hata vipofu wasikie mambo wanayoyafanya

  Kutumia Technology mfano SMS; kuweza kuwahabarisha watu, madudu yanayofanywa na walio madarakani

  Sababu wengi hawasomi magazeti, kuangalia au kusikiliza taarifa ya habari; kutumia rasilimali yao (SUGU) kuweza kutoa vibao vingi vyenye sera na kuonyesha madudu ya CCM na vibao hivyo kugawiwa bure mitaani

  Kama hizo strategy zikifanyika, sioni kwanini kama 2016 hata mimi sitashusha nyumba ya bati
   
 2. m

  mams JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Uko sahihi, katiba ndiyo mama wa yote. Vinginevyo hata tukiwahamasisha huko vijijini bado kura zo zitaibiwa kwa katiba iliyopo
   
 3. J

  John10 JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuanza kampeni sasa hivi ni ujinga wa siasa. Watu wanatakiwa wafanye kazi ya kujenga nchi, na kuacha mambo ya vijiwe vya siasa.
   
 4. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwako kampeni ni nini? unaweza kufanya kampeni kwa namna ambayo haitathiri majukumu yako. Hapo si maanishi kampeni ya kuhangaika majukwaani kwa siku 70 au 80 bali kutumia nafasi mbali mbali kuzungumza mambo ya msingi kwa kutumia mtandao wa habari na baadhi ya mikutano pale inapowezekana.
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Nov 28, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Expert ukikipenda kitu uwe unajiuliza pia, kwani kabla ya uchaguzi uliopita chadema walikuwa hawajui kuwa kuna hayo matatizo? au wamejua ghafla tu baada ya uchaguzi , jamani ebu amkeni ebu wanyoosheeni vidole walikuwa wapi?

  chadema sio chama, kama unataka ukweli fuatilia kwa karibu kuna matatizo mule, ni jumba la sanaa
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Brick by Brick myfriend, brick by brick.... Rome was not built in a day.... Chadema Came from Chama Cha Tatu cha upinzani to chama pili (with uchakachuaji allegations), thats what i call progress. About matatizo ndani ya chama am sure they can be sorted... Am tired with business as usual and in all oppositions to me chadema has got opportunity to make with a good track record.

  So what do you suggest we should.. brother got any better ideas
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  chama ni kipi?
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kama umesoma hapo juu niliyosema, sio kuitisha mikutano, kwa ufupi nimesema ni kutoa elimu kwa jamii kuhusu mabaya ya CCM, na wabunge kufanya mazuri ili kuzidisha imani ya wanachama.. Now tell me, whats wrong with this?
   
Loading...