Hivi Katiba ya Jamuhuri ya Muungano haikuvunjwa katika hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Katiba ya Jamuhuri ya Muungano haikuvunjwa katika hili

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by kigumu twawala, Nov 28, 2010.

 1. k

  kigumu twawala Member

  #1
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jana katika mdahalo kati wamh Hamadi na Mbowe ulio rushwa live na itv mh Hamadi alitueleza kuwa walibadisha katiba ya ZNZ baada ya kupiga kura ya maoni na watu wakarizia kuanzisha kwa serikali ya muungano wa ccm na cuf sio vya vingine vya upinzani vilivyoko. Mimi kinachonitatiza hapa ni kuwa waliyatekeleza makubaliono yale ya katiba mpya bila katiba ya Tanzania kubadlishwa. Mh huyu alifafanua kwamba muda haujapatikana kwa bunge la munganao kutia viraka vingine kwenye Katiba ya muungano ili kuridhia yale mabadiliko ya katiba ya ZNZ. Sasa na uliza kwa kufanya hivi hakuna kifungu cha sheri ya katiba ya jamhuri ya muungano kilichovunjwa, kama kikoko nani anastahili kutiwa kitanzi kwa kushindwa kuilinda katiba.
   
 2. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2010
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 702
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hapo unapotosha jamii, sina uhakika kama unafanya hivyo makusudi au bila ya uelewa.Katiba ya Zanzibar kuhusiana na GNU inazungumzia zaidi uwiano wa kura na mgawanyiko wa madaraka.Sifikirii kama kuna mpuuzi anaweza andika katiba ya namna hii kama maelezo yako.

  Pili katiba ya muungano haijavunjwa wala haijaguswa.Naamini kabisa kuwa pengine hakuna ulazima wa aina yoyote wa kureflect mabadiliko yaliofanywa Zanzibar mwaka 2010.

  P:S
  **Watanganyika au watanzania mnatakiwa mufocus na mambo mengine.Mbowe nadhani ametoka nje ya hoja katika suala la madai ya katiba na GNU.Zipo sababu za msingi za kudai katiba mpya, lakini sio GNU.
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ni vifungu vingi tu vimeshavunjwa!unajua ndugu yangu sisi hatuna viongozi makini,ili ni tatizo kubwa sana kwa nchi yetu!!
   
 4. k

  kigumu twawala Member

  #4
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na kwa kutumia upuzii huu uliouona wewe hizo millioni 500 za walipa kodi ulizo pewa kwenye kipindi cha utumishi kama kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ulizitumia vipi? mchanganuo wake unaweza kupatikana na ukaonyesha tija kwa taifa hili? Au mpaka iundwe tume ya uchunguzi wa kuyachunguza matumizi yake? Angalizo Slaa kakuruka hapa kwenye forum kuwa yeye hajawahi kujua zilivyo tumika na alijaribu kuhoji hakupata ushirikiano.
   
 5. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2010
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 702
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ungeleta vifungu vilivyo vunjwa ungelifanya jambo la maana.Anyways, assume hivyo unavyotaka wewe kama ni mtaalamu wa sheria kuwa vifungu vimevunjwa (which I dont fall into that crap)....Hiki kitendo kimeanza leo Tanzania ?

  Nadhani tokea babu yenu Nyerere alishafanya hivyo mara nyingi tuu.Kwa kusaidia hoja ya kuvunjwa katiba ya Tanganyika (modified version of current constitution) muungano wa nchi mbili haundeshwi hivi. Mkataba tuu ndio makubaliano ya muungano, na si vyenginevyo.

  Na hii ndio hoja yangu kuwa tokea Mwalimu ameanza na kitendo cha kuvuruga makubaliano hayo.Hivyo wacha tumalizie tuu kwa kuburunda tuu viporo, hadi hapo tutakapoacha kuamubu mfu na kuuliza wananchi kwa njia ya maoni!
   
Loading...