Kupanda na kushuka kwa hamadi rashid wa cuf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupanda na kushuka kwa hamadi rashid wa cuf

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by urasa, Nov 28, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Madaraka matamu,hili linajidhihirisha kwa sasa kwa huyu kiongozi wa kambi ya upinzani aliyepita.
  Sasa ndio inajulikana wazi kwa umma wa watanzania ambao walikuwa hawajui kama kuna million 200 huwa zinatengwa kila mwaka kwa kiongozi wa kambi ya upinzani,sio hilo tu kupewa usafiri ambao serikali ndio lenye jukumu la kuhudumia,
  chama chake hakina wabunge wa kutosha kuunda kambi ya upinzani,sasa anataka kuunda kambi ndogo ya upinzani ndani ya kaqmbi ya upinzani,
  hakika ni wa kuogopwa kama ukoma kwani hana nia nzuri na u siasa za upinzani za tanzania
   
 2. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,521
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Ni wewe wasema
   
 3. J

  JokaKuu Platinum Member

  #3
  Nov 28, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,805
  Likes Received: 5,114
  Trophy Points: 280
  ..aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha wa Muungano.

  ..nilitegemea utaanzia hapo, au kabla ya hapo.
   
 4. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hakuna kitu ndugu yangu hawa jamaa ni njaa tu,ndiyo zinawasumbua!
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Nov 28, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,606
  Likes Received: 3,904
  Trophy Points: 280
  Guys be careful in these matters at hand, you are definitely helping CCM ina many ways. I am suprised!!! this a critical time to do unthinkable decisions for the benefit of our country. we have many elections ahead us and we have many results, history is being written and it is not forgetable especially in this matters.
   
 6. jyfranca

  jyfranca JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CUF+CCM=? CUF ndo mwisho wake umefika
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Inasemekana baada ya uchaguzi tu alikuwa anamsumbua Katibu wa Bunge, Bw kashilila kila mara kwa kumpigia simu kutaka kujua Chadema watapata viti maalum vingapi. Lengo alitaka kujua kama ataendelea kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani -- nyumba bure, gari bure, watumishi kibao na budget ya mamilioni kila mwaka!

  Hakutegemea kabisa Chadema wangepata viti vingi vya ubunge wa majimbo, alifikiri yatakuwa yale yale ya mwaka 2005.
   
 8. jyfranca

  jyfranca JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kumbe wanalipwa wakiwa viongozi wa upinzani duu, kufa kufaana
   
 9. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2010
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  I think people have been extremely dissapointed and attack anyone against CDM , but this feeling will fade with time, currently I am also venting off my anger, pls allow me ! I might even attack personalities, ni ktk kuacha reality isink in,after 3months tutatulia tu..meanwhile I support every CDM PM who start building party manifestos,show em show em
   
 10. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2010
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  CCM wana uoga mkubwa sana maana wamesha kamata CUF now wanatafuta kuwakamata Cahdema ili watulie lakini hawaoni wa kushika ndiyo utasikia mara Mbowe wa disco , Slaa ana hasira nk ni baada ya kuona watu wako serious na wanaungwa mkono na watu .Wanakuja na udini lakini hawasemi udini upi na umefanywa na nani wapi .Na udini unaonekana tu CCM wakikosa ama hata wao wakikosa ? Hamad na CUF roho mbaya lakini wataumbuka na wanaumbuka ni fungu la pesa limekuwa linawaumiza kichwa hawa wakuu sasa wacha tuangalie wataishia wapi maana jana alilia ile mbaya anataka Muungano
   
 11. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kwani nhamkujua kuwa kiongozi wa upinzani bungeni anahudumiwa na serikali kwa usafiri, nyumba na watumishi, hamjui kuwa huwa anakutana na spika na waziri mkuu kupanga shughuli za kila siku za bunge? kuwa kiongozi wa upinzani bungeni ni cheo kizito. hamadi ana kila sababu ya kukililia baada ya kumponyoka. but mbowe anapaswa kutobweeka na mahanjumati ya hicho cheo! aongoze upinzani kwa hekima
   
 12. Insurgent

  Insurgent JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2010
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 469
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Big up Mh. Hamad Rashid. Jana ndio CHADEMA wamejua utamu wa mdahalo...kwi kwi kwi ;-)
   
 13. jyfranca

  jyfranca JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawa CUF tangu Maalim Seif akubali tende na haluwa kuuza utu wake, siwaheshimu tena. Mtu unashinda ila unakubali matokeo ili mradi upewe umakamu wa rais. Maalim ameuza nchi kwa kupewa halua
   
 14. Insurgent

  Insurgent JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2010
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 469
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Acha hizo wewe kama CHADEMA wana ubavu wagomee na posho kama CUF walivyofanya, otherwise ni wanafiki tu.
   
 15. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  CUF= CCM B, tamaa iatwapeleka kuzimu na huko ndiko kutakuwa kilio na kusaga meno. mwenye masikio na asikie.
   
 16. k

  kayumba JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nafikiri huu mdahalo umetupa nafasi ya kuwapima viongozi wetu wa vyama vya upinzani. Jambo moja nililoweza kupata ni kuwa hii vita ya madaraka isipotafutiwa dawa mapema basi utendaji wa wabunge wa upinzani bungeni utakuwa chini kabisa ya matarajio yetu.

  CUF wanatakiwa kubadilisha mwelekeo wao kuhusu chadema kwasababu sababu ya msingi ya kuunda kambi ndogo ya upinzani Hamad alishindwa kuitetea, alibadilika mara mbili katika hili. Hamad ni mwanasiasa makini na ukiona amebadilika vile basi hawakuwa na hoja madhubuti kati hilo. Wakubali chadema ndiyo wenye haki ya kuongoza kambi ya upinzani na vita yao iishe!

  CHADEMA nao wanatakiwa wamalize tofauti zao na vyama vingine vyenye wabunge especially NCCR ili umoja wa kambi ya upinzani uwe imara kinyume chake watakuwa wanahujumiana wapinzani wenyewe kwa wenyewe! Wananchi 2015 tutajiuliza je? kuna haja ya kuweka wabunge wengi wa upinzani?????

  Muda ndio huu basi viongozi chukueni uamuzi sahihi!
   
 17. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #17
  Nov 28, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Kweli safari ya siasa za nchi yetu bado ni ndefu, hii ina maanisha huyu jamaa alikuwa anakesha akiomba chadema wapate viti ya ubunge vichache aendelee kula kuku... Kweli vyama vitaungana jamani??? Kumbe ndio maana CUF wamekubali kuolewa na CCM kiulaini ili wajanja wachache wapate madaraka na kuacha juhudi za kumkomboa mzanzibar maskini zikielekea kibra. Walaaniwe wote waroho wa madaraka na wenye kuendeleza maslahi binafsi.
   
 18. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #18
  Nov 28, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CUF imekuwa ikitangaziwa vifo tokea enzi za Kamahuru, majority of the members ni newbies kwenye siasa huenda hata wasiijue Kamahuru ni mdudu gani. Lakini CUF imekuwa imedunda miaka yote hiyo na itaendelea kudunda tu!
   
Loading...