Msaada kwenye tuta - Serikali ya Umoja wa Kitaifa na Mseto. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye tuta - Serikali ya Umoja wa Kitaifa na Mseto.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Selous, Nov 28, 2010.

 1. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wakuu,

  Jana nimesikiliza mdahalo kwa makini na lazima niseme Mhe. HR alitumia nafasi yake vizuri hasa kumshirikisha Dr. Slaa kutupia makombora ya kummaliza Mhe. Mbowe. Mhe. Mbowe alijitahidi sana kujenga hoja japo hakuwa na ujuzi wa kutosha kwa kuwa hakuwepo bunge lilopita na Dr. Slaa hakuwa na nafasi kumsaidia. Ushabiki na uongozi USIOFAA wa dada yetu Rose uliharibu sana mdahalo. Next time apewe mtu mwingine ili tuangalie ladha inakuwaje kwa afadhili swali na jibu moja linaloeweka kuliko maswali na majibu 30 yalioacha maswali 100 na confusions. Nina hili la kuulizwa jukwaa.

  Serikali ya mseto au umoja wa kitaifa maana yake ni nini? i am confused kabisa.

  Inawezekana kuwa na serikali ya umoja wa kitaifa kati ya CCM ya leo na CDM/CUF? Yaani Dr. Slaa arishikiane na EL au RA ashirikiane na HR?

  Asanteni sana
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  mimi binafsi ninamkubali Rose. Next time aendelee. Alikuwa hataki harufu ya u-CCM kwenye mdahalo. Ni mzalendo. Alikuwa akisisitiza wasemaji wajikite katika ishu za kitaifa na siyo U-CUF na U-CCM au U-Chadema.

  Yaani wewe mpaka leo huelewi maana ya serikali ya umoja wa kitaifa?

  Serikali ya umoja wa kitaifa = Kuuwa Upinzani.
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  serikali tatu

  Zanzibar, Bara na Serikali ya muungano ..... serikali ya muungano itakuwa na rais wa muungano pamoja na makamu wa pili wa rais anayeshughulikia muungano na baraza la mawaziri lenye wizara mbili tu.... ulinzi na usalama na wizara ya muungano, amani, omoja na upendo

  nawakilisha
   
 4. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nilichogundua jana ni kuwa kuna mambo mengi ya msingi waliokuwa wanataka kueleza ili kujua TZ mpya inapatikana vp na vikwazo nini. It is a corner stone mkuu. Hili yeye hakuliona, na ndo limeacha maswali mengi kuliko.

  Unataka kuniambia kuwa tunataka kuhalalisha UFISADI kwa mantiki ya serikali ya umoja wa kitaifa? CUF cant be serious!
   
 5. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2010
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 702
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwa ufupi serekali ya kitaifa ipo Zanzibaar, na wala Chadema hawana sababu ya msingi ya kupinga hilo.Nimemsikiliza Mbowe katika mjadala huo kwenye youtube, nadhani amekurupuka tuu na kushindwa kujenga hoja sawa na wajumbe waliotangulia hapo juu.

  GNU imefanyika Zanzibar na SMZ ina mamlaka kamili ya kufanya mabadiliko ya katiba yake bila ya kuomba kibali au ridhaa kwenye muungano...Vyenginevyo Baraza la wawakilishi na wazanzibari wanaopiga kura wanafanya maigizo ya kitaifa ?

  Mbowe ameshikilia Zanzibar mabadiliko ya katiba visiwani yamekiuka au kupuuza mkataba wa muungano 'artible of the union'.Hiki ni kichekesho kikubwa, kwanza mkataba utabadilishwa vipi kwenye baraza/bunge ?Unajua maana ya mkataba ?....Mbowe ameshindwa kabisa kuonesha ni wapi Zanzibar imekiuka mkataba huo ?...Kiilivyo, SMT ndio iliokiuka mkataba huo.
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Ngugu yangu.... Serikali ya umoja wa kitaifa (GNU) Chanzo chake kikuu hata kabla ya kupiga kura ya maoni ni nini, si baada yawaungujai na wapemba kuchapana sana na damu kumwagika..... kura hii ya muundo wa serikali si ilikuja baada ya muafaka... wacha hizo banaaaa..... usitudanganye.... Mh. Mbowe alieleza wazi wamba serikali nyingi za umoja wa kitaifa ni matunda ya machafuko... mfano... kenya. Zimbabwe., Sudan n.k

  Mbona wataka kutu pre-empty na ideology ya devide and rule... watch out siyo Tanzania hii
   
 7. J

  JokaKuu Platinum Member

  #7
  Nov 28, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,815
  Likes Received: 5,144
  Trophy Points: 280
  ..CUF na CCM waunde serikali ya mseto ktk ngazi ya serikali ya Muungano.

  ..yafanyike mabadiliko ya katiba ya muungano kwamba ukiunda mseto Zenj basi unalazimika kuunda mseto kwenye Muungano pia.

  ..kwa sasa hivi CUF wanaonekana kama wanajichanganya tu kwa kulilia kwamba lazima washirikishwe kwenye kambi ya upinzani. inakuwa kama vile CUF ni chama cha kudai mseto bila kuzingatia mazingira halisi.
   
 8. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #8
  Nov 28, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,610
  Likes Received: 3,913
  Trophy Points: 280
  Selous;

  Serikali ya mseto au ya umoja wa kitaifa ndiyo haswa nchi nyingi zilizoendelea wanautumia, achilia mbali majirani zetu kenya.

  Kwa maana nyingine katika kura alizopata Slaa (asilimia 24) chadema walitakiwa angalau wapewe wizara tatu kuongoza.

  In another words, vyama vya siasa vinachukua sehemu katika serikali kulingana na asilimia (wingi wa kura walizopata)

  Hii ni aina nzuri kabisa ya serikali, kwani viognozi hufanya kazi kulijenga taifa lao, na wale wenye extra "creative mind to develop their country" ndio wanashinda"

  kwa mfano chadema wangekuwa na wizara 3, na ccm 9, in next elections, watu watavijudge hivi vyama kulingana na performance yao serikalini. hawa wenye uchache wa wizara watapigana kupata kura nyingi zaidi, na wale wengine watapigana ili waendelee kulinda heshima yao. This happens only to the countries that government is for the people by the people!!!! serikali zisizo na siasa!!

  serikali ya mseto kinyume na wengi walivyo na mawazo finyu, ushamba au kutokujua, au kutingwa na mawazo ya U-CCM zaidi, inaleta ushindani, na turnout ya watu kwenye kupiga kura inakuwa kubwa sana.

  Is and adnaced stage and very desirable in our country.

  mafanikio kama ya cuf zanzibar si ya kuyabeza, kwani yanahitajika Tanzania bara pia.

  In other words never trust one political parties to lead governments, si ccm sio chadema, si tlp au nccr wanaoaminika kuongoza serikali. siasa ni siasa even padre can play fouls! dont quote me!
   
 9. jyfranca

  jyfranca JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CUF wameuza haki yao Zanzibar, CUF Zanzibar = CCM
   
 10. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2010
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 702
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ina maana Chadema wamawawekea ngumu CUF kujiunga na upinzani ??...Thats the smartest thing I have ever heard from these Chadema kidos!

  Keep in mind CCM > (Chadema + CUF) in numbers.
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0

  is this correct? ..... count the alphabet from your above statement and prove that 3 > 10........CCM > Chadema + CUF ... and only if in numbers as stated.......you are not clever
   
 12. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2010
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 702
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Well...think between the lines.Not literally :teeth:
   
 13. L

  LAT JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Literally by logic and wise by expression...
   
Loading...