Mr Justice Bean tells Southwark Crown court it appeared that BAE had paid 'whatever was necessary' to get contract
BAE has steadfastly argued that it did not make corrupt payments to secure...
Wadau hebu naomba tuchangie hoja hii. Hivi ni kweli usalama wetu uko hatarini kiasi hiki?
Usalama wa Watanzania sasa uko hatarini!
Na Daniel Mbega
YAMEANDIKWA mambo mengi katika siku za...
tunasikia tu, Liganga/Mchuchuma iron core deal investor kweka up to tshs 10 trillion,
je mkataba nani anujua? mbona mambo ya siri za mikataba bado ni kitendawili? na hapa wana sema 50% serikali na...
WATANZANIA...
WAKOLONI WALIANZA KWA KUTUIBIA AKILI ZETU NA NDIPO WAKAFUATISHA KUIBA MALI, MPAKA LEO HII WENGI WETU HATUJAJITAMBUA, TUNADHANI YOOTE YATOKAYO ULAYA BADO NI MALI. TUNADHANI BADO...
Nimeona kumekuwepo na kundi la askari polisi kuelimishwa jinsi ya kuendesha shughuli za kipolisi bila kuathili shughuli za kisiasa!nikiangalia kwa undani na gundua polisi hawaja elimishwa...
Government signs more
Richmond-type contracts
TWO COMPANIES AWARDED NEW POWER GENERATION DEALS UNDER CONTROVERSIAL
CIRCUMSTANCES AS THE NATION IS GRIPPED BY YET ANOTHER ELECTRICITY CRISIS...
vituo vilitawaliwa na zoezi la madiwani hao kuapishwa baada ya baadhi ya madiwani kushindwa kuapa na mwingine kujaza fomu yake kwa kutazamia kwa diwani mwenzake hadi jina.
source: Diwani...
Heshima kwenu wana JF.
Katiba mpya ndio habari iliyopo mjini sasa, ni kweli hata mimi naihitaji sana ila hofu yangu ni kuwa katiba ni maandishi tu hayatendi chochote pasi na matakwa ya...
Zanzibar from a sovereign nation to a region of Grand Tanganyika(Tanzania)- a step back-ward.
Baada ya kutembelea hizi sites, kwa hakika sasa ninaelewa kwa nini ndugu zetu wazanzibari...
Wale ambao wamekuwa wakinufaika na katiba mbovu tuliyonayo kwa sasa, wanaanza kuibuka taratibu kuanza kutukejeli. Mwanae mwanasiasa maarufu nchni, Yusuf Makamba, January Makamba, katika kutetea...
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahimu Lipumba amemtaka Rais Jakaya Kikwete kutengua uamuzi wa kumuondoa aliyekuwa Mkurugenzi wa TBC Tido Mhando na kurudishwa kazini.
Akizungumza...
Okay, I think we are making some progress here...
We have forced government's hand, and now Prime Minister Mizengo Pinda has decided to come out and reiterate the need for a new constitution: "I...
Jamani eti ni kweli kuwa Chadema wamemuhujumu Zito ,niliona kwenye gazeti baada ya kutoka kwenye karamu ya chadema alikimbizwa hospitali na hivi sasa nahisi yupo Ujerumani kwa ajili ya matibabu.
Bila kuuma uma maneno, ni ukweli usiopingika kuwa kanisa limetoa mchango mkubwa katika kuifikisha CHADEMA hapa ilipo leo hii.
Umaarufu wa CHADEMA uliongezeka mara dufu kufuatia kanisa kutoa...
Kama inavyojulikana kote, CHADEMA na Dr. Slaa (PhD) walishinda katika mikoa ya ziwa, kaskazini, kusini na magharibi. Walileta upinzani mkubwa sana kwenye mikoa ya kati na wakamalizia kwa ushindi...
KATIKA kipindi kifupi tu cha sehemu ya pili ya mwaka 2010 eneo la Tabata Shule 'limezawadiwa' kwa hisani ya chama tawala na serikali yake baa zaidi ya 10. Na baa zote hizi hivi leo zinakuwa ni...
Kanisa katoliki limetolea ufafanuzi suala la kutengwa kwa baadhi ya waumini wake kwa sababu zinzohusiana na matukio ya uchaguzi mkuu ulipita.
Leo majira ya saa 4 asubuhi wakati wa ibada ya misa...
Wadau kabla ya kufikia mabadiliko ya katiba ni lazima tujuekitu tunachotaka kama ni katiba mpya au kiraka kipya
katiba yetu ina mapungufu mengi kwa mfano
-katiba tuliyonayo leo ni ya mwaka...