Naogopa sana kusema hivi.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naogopa sana kusema hivi....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanamageuko, Dec 20, 2010.

 1. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  WATANZANIA...

  WAKOLONI WALIANZA KWA KUTUIBIA AKILI ZETU NA NDIPO WAKAFUATISHA KUIBA MALI, MPAKA LEO HII WENGI WETU HATUJAJITAMBUA, TUNADHANI YOOTE YATOKAYO ULAYA BADO NI MALI. TUNADHANI BADO KWAMBA WA KUTUKOMBOA AWE NA ELIMU TU HATA KAMA HANA BUSARA. LEO HII ILI MTU AONEKANE MSOMI LAZIMA AJUE KUONGEA LUGHA AMBAYO UMBALI WAKE NI KILOMETA TAKRIBAN ELFU TATU. (LAU KUWA LUGHA HIYO INGELIKUWA NDIO KIGEZO CHA ELIMU BASI WANA WA KULE WASINGELIHITAJI SHULE) ILA KWA SABABU TUNGALI KATIKA KUIBIWA KULE TUTAFANYAJE? MAARIFA YETU YANGALI USINGIZINI. NDIO MAANA MIKATABA MIBOVU, NA HUDUMA MBOVU ZINAPATIKANA NA SI KWA WELEDI BALI BADO HATUJAJITAMBUA KWAMBA TUMEIBIWA AKILI. (Nitatoa mfano wa wezi, Mwizi hupiga makelele ya mwizi katika kituo cha basi. Na hapo kila mmoja hujipapasa alipoweka akiba yake - tayari huwa mtego umenasa!) Jamani ndugu zangu Watanzania tutoke katika lindi la usingizi... Ukombozi wa watanzania hautaletwa na mtu yeyote zaidi yetu wenyewe laa sivyo tutaendelea kuwaonesha tulipoweka akiba zetu ili waendelee kutuibia!

  TUZINDUKE
   
 2. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  lugha ya kimadrassa inafaa sana kutumika kwenye mikataba... au wewe unasemaje?
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hey!
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,241
  Trophy Points: 280
  Nakwa uvivu waviongozi wetu lugha ni muhimu hasa lugha yakitaalamu,hii mikataba yote imetokana na uvivu mtu akiona document kama bible anasoma page za mwanzo na zamwisho anamwaga wino!!kumbe amefixiwa kati!!
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Dec 21, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  kazi ipo, maana kuwa open minded person is not easy! maana hata wale tunaowaona wakombozi nao pia walishaibiwa siku nyingi
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mwanamageuko, nimependa sana huu uchambuzi wako.
   
Loading...