Liganga/ Mchuchuma deal of Tshs 10 trillion Bunge iliridhia mkataba? au ndio yaleeeee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Liganga/ Mchuchuma deal of Tshs 10 trillion Bunge iliridhia mkataba? au ndio yaleeeee

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jay One, Dec 20, 2010.

 1. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,667
  Trophy Points: 280
  tunasikia tu, Liganga/Mchuchuma iron core deal investor kweka up to tshs 10 trillion,
  je mkataba nani anujua? mbona mambo ya siri za mikataba bado ni kitendawili? na hapa wana sema 50% serikali na investor watagawana that sounds good but kila mkataba unapoanza utasikia maneno matamu ya 50% share, je mkataba unasemaje? is their hiden costs? utakuta tunapata 26% bcoz of these hiden costs, tunataka mikataba ya wazi, Bunge lijue na lipitie mikataba, ujue kuna uongo hapo hapo waziri kasema eti mradi wa coal wa Ngaka wa Ruvuma Serikali itapata 30% hawa Pacific corporation east africa 70%(mara ya kwanza kusikia hii kampuni, nime google ipo ila haieleweki, ) kivipi? hapa tumeliwa subirini muone, period
   
 2. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,508
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Bajeti ya Tanzania ni 11 Tillion, sasa itakuwa ni maajabu ya Mussa kwa mambo tunavyoyajua Bongo sisi kupata hiyo 50 % ukichukulia kuwa hatuna huo uwezo wa kinvest that much. Vilevile ukichukulia mikataba mingine iliyokwisha kamilika. Unless this time tumepata wawekezaji mazzuzuz kama sisi wenyewe.
   
 3. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,667
  Trophy Points: 280
  kwanza mkataba huu nahisi hata bunge halijapitia, of which bunge lilipendekeza lipitia contracts zote kubwa kabla ya kuidhinisha,
  utaona maajabu wait
   
 4. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,508
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Mpaka sasa sidhani kama bunge lina uwezo huo wa kupitia mikataba ya serikali............ Inashangaza kwa vile Bunge linauwezo wa kutunga na kubadili sheria lakini wameshindwa kujipatia wao wenyewe mamlaka ya kufanya hivyo...................KISA mapenzi yao kwa CCM.
   
 5. Zitto

  Zitto MP Kigoma Urban

  #5
  Dec 20, 2010
  Joined: Mar 2, 2007
  Messages: 1,197
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Hii ni ajabu kweli. Waziri anataja kiwango cha uwekezaji bila kumtaja mwekezaji na The Citizen wanaandika tu. Bunge halijajadili uwekezaji huu. Hii itakuwa ni single biggest invesment into the country na ni ajabu sana kuwa mkataba unaweza kuwa umesainiwa bila hata press conference leave alobe Bunge kuambiwa.

  Wajiandae kwenda mahakamni tu maana Bunge litawaambia wauvunje. Hawa jamaa hawajifunzi.
   
 6. Zitto

  Zitto MP Kigoma Urban

  #6
  Dec 20, 2010
  Joined: Mar 2, 2007
  Messages: 1,197
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Katika uwekezaji sio lazima sisi tuweke fedha hizo lakini equity yetu itakuwa ni Rasilimali yetu. Mchucuma na Liganga ni strategic resource kuiacha kwa mwekezaji pekee. Kama kweli tuna 50% ni ishara nzuri. Hata hivyo kwani nini iwe siri iwapo the story is that good?
   
 7. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #7
  Dec 20, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bunge lenyewe hili la ccm (na washirika wao ndani ya upinzani - CUF, TLP, NCCR + Zitto Kabwe) halitafanya chochote hapa
   
 8. Zitto

  Zitto MP Kigoma Urban

  #8
  Dec 20, 2010
  Joined: Mar 2, 2007
  Messages: 1,197
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  You are totally wrong........
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Utasikia mwisho wa siku kuwa they meant 25% na sio 50%
   
 10. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #10
  Dec 20, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  You know that I know that you know that I know that I am not "totally wrong"
  Zitto, of all people, you are not in a position to make such a promise...... you lost your mojo long time ago
   
 11. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #11
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,667
  Trophy Points: 280
  Thanks
  hata sisi tunashangaa waziri anasema tu bila kuweka wazi who is investor? where is contract?, what it says?, na ajabu waziri anatamka easily ni 50% share each, i repeat easily, kwanza waziri si mtaalam wa contract wa such a huge investment, na kingine ambacho kinakuja ni Uranium, itakuwa hivi hivi, bunge halitajua, wananchi watabaki wakisoma magazetini, what are all these? Are we still hiding hizi contracts na huko ndio wizi mkubwa unafanyika? Bunge limeshapiga kelele hadi basi ila serikali inafanya itakavyo, Bunge lijalo liwe makini sana, na hapa namaana CDM MPs si wengine we trust you, ni CDM pekee itatusaidia msijali uchache wenu, tena sasa mpo wengi compare na bunge lililopita, uchache si hoja
   
 12. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #12
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,667
  Trophy Points: 280
  No hapa tunaongelea kutokuwepo kwa uwazi wa mradi huu, is not personal matters, plse
   
 13. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #13
  Dec 20, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kweli mkuu?
  personal matters ziko wapi kwenye post yangu?
   
 14. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #14
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,667
  Trophy Points: 280
  what i see Zitto kachangia vizuri tu, him as human being he has some shortcomings, hata mm nilimshambulia sana last week, but ww hapo ukamponda kichwa Zitto kwa Zitto just to comment, slow bana, we are talking of 10 trillion man, imagine...!!!!!!!
   
 15. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #15
  Dec 20, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Hapo kuhusu mradi wa chuma na makaa ya mawe tuwe makini na hawa majuha.Kwani wanachosema sio wanachotenda na wanachotenda sio walichosema. Hivyo inatakiwa wabanwe kupitia bunge.Na wanakasera kao kuwa mkataba ni siri ya nchi hivyo haitakiwi uwe wazi ili kuficha madudu. Sasa wanapo sema siri ya nchi, nchi si inaundwa na wananchi hivyo watuwekee siri zetu wazi tujue kupitia bunge.HIVYO NA HUO MKATABA UWEKWE WAZI SIO USANII WA MANENO TU AMBAYO HAYANA UHAKIKA WOWOTE.
   
 16. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #16
  Dec 20, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nimekuuliza uoneshe personal attack dhidi ya Zitto na umekwepa.

  Anyway, sasa ngoja nimjadili Zitto kama yeye na pia kama mbunge ili unachosema kiwe na maana.

  Zitto ni mbunge wa bunge la JMT. Zitto aliua mbinu za watanzania kubadili mikataba ya madini. Zitto ni kipenzi kikubwa cha Kikwete ambaye serikali yake inasaini mikataba ya kipuuzi kama hii. Zitto anatumia na serikali ya ccm kusambaratisha upinzani. Bado unategemea bunge la Zitto na yule mchawi wa ccm (prof maji marefu) litafanya chochote?

  Hizo trilioni kumi, Zitto atakatiwa percent yake, Kikwete ataweka maji jimboni kwa ZItto, na mchezo utakwisha.
   
 17. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #17
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,667
  Trophy Points: 280
  Ok got u
  ila nilitegemea mchango wako sana hapa, na zitto tulimtwanga sana last week, ndio what i expected from you, najua unauchungu like i do, but mchango wako bana plse i beg u
   
 18. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #18
  Dec 20, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Kwani si huwa wanafanya maksudi kwani wawekezaji ni wao na wafungua kesi kuishitaki serikali na wanashinda kesi wao na wanajilipa wao huo ndio mchezo wanaoufanya kwa majuha wa Tz na sisi tunaendelea kidumu CCM Hapa Tz hamna watu ila Nguchiro tu.
   
 19. October

  October JF-Expert Member

  #19
  Dec 20, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sijui ushauri huu utakua na uhalali gani kisheria naomba kueleweshwa na wanasheria.

  Hivi kwanini wabunge wenye uchungu na nchi hii wasiungane na kuandika barua kwa pamoja kwa hawa wawekezaji kuwatahadharisha kinaga ubaga kuwa endapo wataanza kuwekeza katika mradi bila mkataba husika kuidhinishwa na bunge watakuwa wanapoteza fedha na muda wao kwa sababu mkataba huo utakujabatilishwa na hawatafidiwa.

  Nadhani msimamo kama huu unaweza kuwa na matokeo chanya kwa manufaa ya watanzania wa leo na vizazi vijavyo kwa kuhakikisha kua watendaji mafisadi wa serikali hawaliingizi taifa katika mikataba ya 'Mangungo'.
   
 20. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #20
  Dec 20, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sawa mkuu nimekupata,
  Nitachangia tu accordingly. Hivi kwanza Zitto wa dowans kakimbilia wapi?
   
Loading...