Fact: Mosque behind Kikwete's (and ccm) popularity in Bagamoyo (and coastal area) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fact: Mosque behind Kikwete's (and ccm) popularity in Bagamoyo (and coastal area)

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Solomon David, Dec 20, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama inavyojulikana kote, CHADEMA na Dr. Slaa (PhD) walishinda katika mikoa ya ziwa, kaskazini, kusini na magharibi. Walileta upinzani mkubwa sana kwenye mikoa ya kati na wakamalizia kwa ushindi wa kutosha kwenye mkoa wa Dar es salaam.

  NEC ya CCM ikaamua kuchelewesha kutangaza matokeo ya uchaguzi na kuzuia vyombo vya habari visitangaze matokeo ya uchaguzi toka vituoni. Yaliyofuatia ni .... well .... wezi wa kura (wanaofaa kuwa jela) walitangazwa kuwa washindi.

  Hata hivyo, kwa credit yake, Kikwete alifanya vizuri sana Bagamoyo na baadhi ya mikoa ya pwani. Kilichompa nafasi kubwa hapa ni kampeni za wazi wazi zilizokuwa zikifanyika misikitini. Pamoja na watu kujua yote Kikwete aliyofanya kuifilisi nchi, mashehe waliendelea na kampeni zao za wazi kwa kikwete. Wengine walifikia hatua kuwaambia waumini wao wasimpigie kura mtu ambaye wamekuwa wakimpigia katika chaguzi tatu zilizopita - Dr. Lipumba (PhD).

  Kuna kibaraka wa ccm kaanzisha mada hapa akipredict kuwa ccm watasimamisha mkirstu(o) mwaka 2015 ili kuleta "ushindani" kwenye uchaguzi. Observation yangu kwa ccm ni kuwa, mwaka 2015, hata hizo kura chache za msikitini mlizopata mwaka huu, zitayeyuka tena kurudi zilikotoka - kwa Dr. Lipumba.

  Sina hakika kama NEC itakuwa na nguvu tena ya kufanya walichofanya mwaka huu.
   
 2. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  hata kama unaandika kulipa kisasi lakini pia na wewe umekosea kabisa. Je kule Iringa kuna misikiti mingapi, si ndo kwaaanza kapoteza jimbo la Mjini ambalo misikiti ipo kibao!

  Mufindi na Njombe ambako hakuna misikiti ya kutosha hata CDM yenyewe haifahamiki kabisa na kazoa kura zooooote!! majimbo yooote

  Acheni fitina zisizokuwa na maana bana kuweni wa kweli
   
 3. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nani kapoteza jimbo? Kikwete (sio Dr huyu) au Dr. Slaa?
   
 4. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  In order to remove any shadow of doubt on JK's victory, there is a great need to have an independent commission for the verification of the announced results.
   
 5. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kikwete would never let this happen.... just like all other insecure african "presidents", he is looking for a way in/around the constitution to stay in power forever .... just wait for calls to ammend the constitution for Mkwere's third run (term).
   
 6. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #6
  Dec 20, 2010
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,738
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Mtoa hoja, usiongozwe na hisia za chuki za kidini. Natoa ushauri tu.
  Watu wengi wasiofikiria kwa undani, wanakurupuka tu na kusema, "CCM imepigiwa kura na Waislam na Chadema imepigiwa kura na Wakristo" This is wrong, very wrong. Ni wale wenye hisia za kidini, na ambao labda kweli walipiga kura kidini ndio wanashabikia na kujiridhisha kuwa wagombea wao walishinda kwa vile walipigiwa kura na wafuasi wa dini yao. Sijui vyama vingine vilipata kura kutoka kwa wapagani?
  Na mnajua Wakristo/Waslam/Wapagani wangapi walijiandikisha? Na je nani ametoa idadi ya Wakristo waliochagua Chadema, na Waislam waliochagua CCM? Sijaona namba zozote hapa. Ni hisia tu ambazo hata haziwi reflected na hali halisi ya matokeo. Hisia hizi hazina maana, zaidi ya kuchochea chuki zilizojificha ndani watanzania wachache wasio na uzalendo na nchi yetu.

  Nashauri mambo haya tuyaongelee objectively.
   
 7. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #7
  Dec 20, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Fungua macho mkuu uone kinachoendelea
   
 8. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #8
  Dec 20, 2010
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,738
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Labda nimefungua macho, lakini sioni vizuri. Ninafahamu wakristo wengi wasiokipenda chadema, na Waislam wasioipenda CCM. Pia Kila kundi wapo wanaopenda hivyo vyama. Hebu fikiria, kwamba 40% ya wapiga kura walikuwa waislam, na about 55% Wakristo (percent estimated from respective proportion in the national population), je kama CCM na Chadema ni vya kidini, na kura zilipigwa kidini, na hapo ukumbuke kulikuwa na vyama vingine, ni chama gani kingeshinda? Mimi naamini kuwa KAMA KUNA WATU WALIPIGA KURA KWA KUFUATA UDINI, BASI IT WAS A SMALL PERCENTAGE ON BOTH SIDES AND HAD NO SIGNIFICANT EFFECT. Otherwise, naamini majority walipigia vyama vilivyowashawishi kwa mambo mengine mbali na udini.
   
 9. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chadema kilishinda uchaguzi uliopita ... hands down

  Kumbuka pia nilichosema, Kikwete aliungwa mkono kwa sababu za udini pekee.
  Dr. Slaa (PhD) alipigiwa kura kwa sababu ya sera - serikali ndogo, huduma bora za jamii, katiba mpya, kukata matumizi, etc
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...