Kuna kila aina ya sababu kuwa elimisha polisi bila kujali cheo chake.!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna kila aina ya sababu kuwa elimisha polisi bila kujali cheo chake.!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Dec 21, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Nimeona kumekuwepo na kundi la askari polisi kuelimishwa jinsi ya kuendesha shughuli za kipolisi bila kuathili shughuli za kisiasa!nikiangalia kwa undani na gundua polisi hawaja elimishwa ,kisaikolojia kutambua kuwa tupo katika mfumo wa vyama vingi!nakuelezwa kuhusu viongozi wavyama vya upinzani aswa wakitaifa nisawa na viongozi wa chama tawala hivyo hivyo kwa wabunge,kwani wao uona mbunge wa chama tawala ndiye mbunge na wengine wavyama pinzani kuwa si wabunge halisi!hiyo ndiyo mentaliti waliuonayo polisi kuanzia cheo cha juu hadi cha chini!!Ndiyo maana ma asikari polisi tunaweza kuona wanakuwa na uthubutu wakuwapiga viongozi wa vyama vya upinzani pamoja na wabunge wao bila ya kuwa na woga!!sasa umefika wakati bunge kutunga sheria yakuwalinda viongozi wakitaifa wavyama pinzani ili waweze kuwa na hadhi,kinga sawa na wachama tawala lasivyo tutaendelea kuona wakinyanyaswa kubezwa na dola!!nawengine walioko madarakani wanatumia muanya huo kuwadhoofisha kisiasa.
   
Loading...