Tunataka katiba mpya au kiraka kipya ??/ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunataka katiba mpya au kiraka kipya ??/

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by AMARIDONG, Dec 20, 2010.

 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Wadau kabla ya kufikia mabadiliko ya katiba ni lazima tujuekitu tunachotaka kama ni katiba mpya au kiraka kipya

  katiba yetu ina mapungufu mengi kwa mfano
  -katiba tuliyonayo leo ni ya mwaka 1977,
  -Katiba hii iliundwa bila kuwashirikisha wananchi
  -Katiba hii inakabiliwa na changamoto nyingi,kama Nafasi ya raisi katika kutunga sheria,Muungano,Nguvu na Mamlaka ya raisi,Tume ya Uchaguzi,Nafasi ya raisi wa Zanzibar,Msajili wa vyama vya siasa

  na mengne mengi,

  embu tuangalie kwanz ni kweli tunahitaji kiraka kingine au tunataka katiba mpya
  nionavyo Waziri Mkuu kachemka sisi tunataka KATIBA MPYA na sio KIRAKA KIPYA
   
 2. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  tunataka katiba mpya kiraka kipya ndio mdudu gani huyo Pinda aendeee na ujinga wake sisi tunataka katiba mpya
   
 3. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  na watanzania inabid tusimame imara kuhusu hili la sivyo...changa la macho! manake hii siri-kali yetu hii...mmmh!!
   
Loading...