Masultani Hawataki Katiba Mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masultani Hawataki Katiba Mpya

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Muke Ya Muzungu, Dec 20, 2010.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Wale ambao wamekuwa wakinufaika na katiba mbovu tuliyonayo kwa sasa, wanaanza kuibuka taratibu kuanza kutukejeli. Mwanae mwanasiasa maarufu nchni, Yusuf Makamba, January Makamba, katika kutetea msimamo wa Chama Cha Mapinduzi ambayo hayakubaliana na Katiba mpya alikuwa na haya ya kusema kupitia mtandao wa Facebook

  January Makamba
  Tuzungumze Katiba mpya. Why is the current one inadequate? Why do we need an entirely new one instead of amending problematic provisions? Are "patches" (amendments) sufficient reason to rewrite the constitution? (USA constitution has 27 amendments). Is the constitution really that critical for development (UK does not have one). What process do we use to determine the contents of new constitution?

  January, kwa kifupi ndo moja ya mizigo JK aliyoibeba ndani ya ikulu kwa muda mrefu. alikuwa mshauri, na ushauri wake ulikuwa ni ule wa uendelezi wa usultani wao ambao unaonekana kuanza kuota majani, kwani katiba ya watu wote inakuja wapende wasipende.

  January alifikiriwa na wengi kuwa ni kijana ambaye angeleta muamko, lakini hizi alili zake ni za kuendeleza usulutani wa Mzee Makamba na Kikwete kwenye taifa letu. Hawa ni waangamizi wa taifa, wamenufaika sana na ufisadi, kwa hiyo wanachotaka kufanya ni kutukanganya ili waendelee kula na kujikinga dhidi ya sheria. Za mwizi ni 40. Siku 27 zimepita endelea kuhesabu, Malaria nomore, Hela za wahindi zote zitatokea puani.
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,817
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mh!
  Wacha tuone how this consituency issue ends up.
   
 3. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,012
  Trophy Points: 280
  Wananiudhi wale wote wanaosema "Why........??" na kutaka sisi tuwabu maswali yao bila wao kutaka kutuambia "Why not.......???"
   
 4. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Mr. Zero, wala usihudhike. Hao ni wale vitoto vya mafisadi. Wanadhani nchi ni ya mama zao, hasira zetu zitawamaliza siku moja wakiamka wnaikuta nchi haikaliki
   
 5. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,876
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Ni afadhali ushauriwe na mbung'o unaweza ukafanya la maana kuliko january au babaye.
   
Loading...