Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WikiLeaks cables: Tanzania official investigating BAE 'fears for his life' Prosecutor Edward Hoseah voiced safety fears over inquiry into 'dirty deal' involving sale of radar system to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna habari nilizozisikia kwenye vyombo vya habari Kuhusiana na mtoto wa mkulima kukataa gari ambalo tayari amenunuliwa! Sitaki kuamini kuwa tokea mchakato wa manunuzi ambao kwa serikalini...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanaJF, Naomba niwasilishe hoja ifuatayo: Ingekuwa vizuri angalau tukaanza kualikwa watu muhimu katika kujadili ishue hii ya katiba mpya na tukaweza kujadiliana naye kupitia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zamani tuliaminishwa kuwa sheria ni msumeno kwa maana kuwa hukata mbele na nyuma na kwamba hauchagui pa kukata. Lakini taraaatibu ukweli nimeanza kuujua kuwa sheria siyo msumeno. Baada ya...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kuna taarifa kuwa basi la Dar Express linawaka moto hivi sasa huko Kitumbi na kuna Lori laamguka na kufunga barabara. Mwenye taarifa zaidi atujuze.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Huko nyuma nguvu za ccm zilitokana na chama hicho kwa dhati kabisa, kuwa mtetezi wa wanyonge kwa kauli na vitendo. Msimamo huo ulibadirika ghafla wakati wa uenyekiti wa rais wa hawamu ya tatu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani mbona SISIEM inatupeleka pabaya! Kweli tuna sheria za kipuuzi za namna hii zinazoweza kuruhusu mbunge wa viti maalum mkoa wa Tanga aitwye Mary Chitanda kushiriki uchaguzi wa umeya Arusha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Juzi tumeendelea kushuhudia uhaini wa demokrasia ukifanyika ndani ya nchi yetu wakati wa uchaguzi wa meya wa manispaa ya Arusha. Nauita uhaini kwa sababu kitendo kilichofanywa na madiwani wa CCM...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Siku ya leo maeneo mengi ya jiji wamekata umeme jana wametangaza bei mpya kuongezeka kuanzia january au wanatafuta fedha za fidia ya dowans!!!!!!!! Hatuwezi pata mpinzania wa tanesco kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam wana JF., Imekuwa ikisisitizwa mara nyingi hasa na viongozi wetu kwamba kiswahili ndio lugha ya taifa tuienzi. Na sababu kubwa ya kuiweka kuwa lugha ya kufundishia ni kwa sababu ni lugha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi, ningependa mwenye kufahamu anijuze hapa Mary Chitanda ni nani katika siasa za Arusha, CCM na Tanzania kwa ujumla.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajamvi Hii mahakama ya kadhi ikirudi itabidi tuwaombe wazee wetu wapiganie kurudiswa kwa mahakama za kimila/Kijadi amabzo kwa kweli zilikuwa ni msaada mkubwa sana . Kule vijijini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu naomba nisaidieni juu ya aina ya vibali vinavyotakiwa kutolewa kwa hawa wanaokuja nchini kama watalii,exchange programe kwenye masecondary na wanaokuja kufanya kazi ya umachinga kama wachina...
0 Reactions
35 Replies
10K Views
Wandugu. kama vugu vugu la kudai katiba mpya linavyozidi kuchukua kasi mpya kila siku, huku wananchi, taasisi za umma na binafsi, pamoja na wasomi wakizidi kutoa maoni yao(wengi wakitaka katiba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Dk Hoseah adaiwa kufichua siri za JK Send to a friend Monday, 20 December 2010 23:53 MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah, anadaiwa kufichua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajf Katiba mpya inatakiwa kwa kuwa iliyopo sasa hivi haifai, kwa hiyo itakayokuja pengine itakidhi mahitaji ya kisheria ambayo ya sasa hivi haikidhi. Nauliza kwamba hiyo katiba mpya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rafiki yangu mmoja hakusita kutamka wazi kuwa anaomba rushwa iendelee. Nikamuuliza kulikoni? Naye akasema "Wewe unafikiri kama polisi-trafiki watafuata sheria zote, ni magari mangapi yatatembea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zinadai Chadema nao wameteua meya na makamu wake. Mwaga mboga; tunamwaga ugali. ngoma droo. hizi ndo siasa za bongo. full maji-taka. source: Gazeti la Udaku(HabariLeo)
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Source: TBC1 mgao wa Umeme umekwisha na hautarudia tena. Amelishuhulikia tatizo kisha akatutaarifu. Mawaziri wengine walioingia kwa mbwembwe vipi...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Diwani wa Kata ya Sokoni kupitia TLP, Michael Kivuyo amesema Meya wa jiji la Arusha Gaudence Lyimo wa CCM pamoja na yeye wamechaguliwa kinyume na kanuni ila kinachopaswa kufanywa na Chadema ni...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…