Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,937
Wakuu naomba nisaidieni juu ya aina ya vibali vinavyotakiwa kutolewa kwa hawa wanaokuja nchini kama watalii,exchange programe kwenye masecondary na wanaokuja kufanya kazi ya umachinga kama wachina wa Kariakoo na maua yao.
Naulizia hili suala kwa kuwa kadiri siku zinavyozidi kuendelea wazungu wamezidi kuja huku wamejaa mtaani kila eneo hata uswahili wamejaa tele tena na wao wamepangaa kabisa nyumba na wanaishi kama wabongo.Utakutana nao kila eneo la kahawa,kumbi za starehe majikoni kumbi za starehe na hata baa.
Kwa wale wanaojua sheria za uhamiaji naombeni msaada maake wananikera kuliko maelezo.