Source: TBC1
mgao wa Umeme umekwisha na hautarudia tena. Amelishuhulikia tatizo kisha akatutaarifu. Mawaziri wengine walioingia kwa mbwembwe vipi?
Source: TBC1
mgao wa Umeme umekwisha na hautarudia tena. Amelishuhulikia tatizo kisha akatutaarifu. Mawaziri wengine walioingia kwa mbwembwe vipi?
no source no right to speak! Service line without nguzo ni 460,000 single phase na laki 7 , 3phase nimekarabati kibanda changu juzi! Pole ni one mikKwanza hakukutakiwa kuwe na mgao wa umeme why!! hivyo hakuna chakupongezwa hapo. Sasa hivi kulipia service line bila ya nguzo no 1.6million, for a pole you have to pay separately and i think its 2.5 million per piece and still you have to wait as currently none in stock.
Waandishi wa habari wakiwa kwenye ziara hizo, wawe armed with his previous comments,current data n statistics na maswali ya accountability kuwa je next year this time mgao ukija unaachia ngazi??
@ gurudumu! mbona hauleweki? mbwembwe za mawaziri wengine na kuisha kwa mgao wa umeme mbona havina uhusiano? umetumwa vibaya hebu jipange ndo uje hapa...! kwani umesikia daraja limebomoka likaachwa kuwa repaired! au unataka fly overz zijengwe over a night..?? usiwe mvivu wa kufikiri...!
tumetatua tatizo sisi wananchi tuliokemea na kuwalazimisha kuchukua hatua, otherwise kama kawaida angeendelea kulala!! tunamsubiri kwenye agenda za madini....
Kamaliza mgao sengerema, the guy likes cheap publicity wzr na issue hadi ya luku network wapi na wapi?Just spoken to my friends in Mwanza wapo gizani kama kawa..... au Dar ndio Tanzania......