The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 14,135
- 10,835
Kuna taarifa kuwa basi la Dar Express linawaka moto hivi sasa huko Kitumbi na kuna Lori laamguka na kufunga barabara. Mwenye taarifa zaidi atujuze.
Umenichekesha kweli. Sijui kama ulimaanisha unachomaanisha!Sidhani kama ni habari ya kisiasa hii
Umenichekesha kweli. Sijui kama ulimaanisha unachomaanisha!
Umenichekesha kweli. Sijui kama ulimaanisha unachomaanisha!
Sidhani kama ni habari ya kisiasa hii
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us