Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nchi ilipofikia sasa chini ya uongozi wa Kikwete, hata wanachama wa ccm hawataki hali hiyo. Ushahidi ni pale wilaya ya Hai iliyokuwa na madiwani 11 wa ccm na 11 wa chadema, halmashauri yake...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sakata la kujiuzulu kwa Naibu Meya, Michael Kivuyo, limewafanya viongozi wa CCM Wilaya ya Arusha kufanya kikao cha dharura hadi usiku. Habari za uhakika kutoka ndani ya kikao hicho zinasema...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Napigwa butwaa na wasanii wetu wa Tanzania wanavyojiita kuwa ni kioo cha jamii wakati huwa wanaendekeza njaa zao na kufumbia macho masuala muhimu jamii wanayoishi kwasababu ya kufunga fungate na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF wenzangu , natowa msimamo wangu mapema juu ya uchaguzi wa mwaka 2015. Napenda chama makini na chenye Demokrasia ya kweli kama CHADEMA. Sababu za kupenda washinde ziko kwenye umakini na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
THE former boss of ccm's private company(SUKITA) mr John Kolos Kapinga has died this early morning at his kimara residence.the report from his family has confirmed. i could not confirm the exact...
0 Reactions
59 Replies
10K Views
Toka kipindi cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu kumekuwa na mambo ambayo yanakera sana pale unapokuta kiongozi tena mtendaji wa chama iwe katibu au mwenyekiti wa chama utasikia HAYO YALIKUWA MAONI...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sina hakika kama nina uvivu au nina makengeza wa kushindwa kutambua kile kilichodaiwa na kiongozi mmoja wa CUF. Katika madai hayo, kiongozi huyo (Naibu Katibu Mkuu wa CUF) Bw. Ismail Jussa Ladhu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
"By the day soldiers stop bringing you their problem is the day you have stopped leading them. They have either lost confidence that you can help them or concluded you do not care. Either case is...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hapa udsm hapakaliki! Kipara asemekana kuwa chanzo cha matatizo kwa kujiunga na tahliso kinyemela pasipo kuwahusisha wapiga kura wake. Hoja hapa ni kwamba kipara ang'oke. Sasa najiuliza kipara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inapaswa dunia nzima ipate kujua kilio cha watanzania na ukiukwaji wa haki za msingi za binadamu unaofanywa na jeshi la polisi kwa kushirikiana na chama cha mapinduzi, dunia ipate kujua kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nimekuwa na maswali mengi sana kuhusu utawala wa serikali ya kimabavu ya JK na bado sijajiridhisha na baadhi ya majibu niliyopata. Hivyo naomba wana JF mnisaidie kutafakari...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Ndugu wana JF nimeona nianzishe thread hii rasmi kwa ajili ya kutoa rambirambi zetu kwa marehemu wa tukio la maandamano ya Arusha. Ninaomba tusiifanye thread hii kuwa ya kutolea vijembe vya...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Wadau nimepata taarifa za kushtua sana hapa kwamba jeshi la polisi limepiga marufuku mazishi ya kitaifa kesho kwa nashujaa waliouawa kwa kupigwa rusasi za motoi na polisi wiki...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
So wananchi wakiwakataa CCM kwa kutowapigia kura basi wao watadai wabunge wao wakuteuliwa kutoka majimbo mengine wamehamia kwenye mkoa huo na hivyo kuchukua uongozi wa halmashauri ya majimbo hayo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nikiwa eneo langu la kazi hapa Nyerere road Nimeshuhudia dakika nnezilizopita magari ya FFU yakipita kwa mbwembwe na tena kwa uwingi, Je mliopo huko center kuna nini? maana nimeshituswa na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
The Moose on the Table of Mr. President "By the day soldiers stop bringing you their problem is the day you have stopped leading them. They have either lost confidence that you can help them or...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
je huyu ni rais serious?????:A S 27:, enough is enough
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Askofu Martin Shao amemtaka Waziri Mkuu kuitisha mikutano ya mazungumzo kwa mgogoro wa Arusha na mengine kwengineko kwa njia za amani, busara na upendo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naona chama kinamfia JK maana mgogoro Chadema na serikali haieleweki kabisa nini msimamo wa Chama(serikali)au tuseme mkwere kajichokea kaamua kila mtu ruksa 1.Shamsi Vuai- "huu ni mgogoro wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waungwana, Napenda kutoa ombi kwenu ili tufanye mchango wa nguvu kuwasaidia katika gharama za mazishi ndugu, jamaa na marafiki wa wale ambao wamepoteza maisha yao katika mauaji yaliyotokea...
0 Reactions
185 Replies
16K Views
Back
Top Bottom