ccm ni chama au genge la machokoraa?

matawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2010
2,052
242
Naona chama kinamfia JK maana mgogoro Chadema na serikali haieleweki kabisa nini msimamo wa Chama(serikali)au tuseme mkwere kajichokea kaamua kila mtu ruksa
1.Shamsi Vuai- "huu ni mgogoro wa kisiasa wa pande mbili inabidi ushughulikiwe kisiasa kwa pande 2 kukutana
2. Makamba-"hakuna meza ya mazungumzo na chadema na kila mtu aheshimu matokeo yakiwemo ya umeya
3.Kamati kuu itakaa na kukubaliana jinsi ya kushughulikia mgogoro na itatoa tamko
 
Kiama chao ki karibu sasa kuliko muda wowote katika historia!! Hata Babeli ilianguka kwa mtindo huohuo, kila mtu alikua akisema lake!!! Hayo ni madhara ya damu zisizo na hatia. They are really haunted now!!
 
Naona chama kinamfia JK maana mgogoro Chadema na serikali haieleweki kabisa nini msimamo wa Chama(serikali)au tuseme mkwere kajichokea kaamua kila mtu ruksa
1.Shamsi Vuai- "huu ni mgogoro wa kisiasa wa pande mbili inabidi ushughulikiwe kisiasa kwa pande 2 kukutana
2. Makamba-"hakuna meza ya mazungumzo na chadema na kila mtu aheshimu matokeo yakiwemo ya umeya
3.Kamati kuu itakaa na kukubaliana jinsi ya kushughulikia mgogoro na itatoa tamko
umesahau ku-quote hiyo ya tatu-Pius Msekwa makamu Mwenyekiti Bara
4. CCM imekosa adabu dhidi ya Maaskofu-Samwel Malecela (CCM-CC member)
5. Maaskofu wavue majoho yao waingie siasa-mary Chitandala
6. Tunamuunga mkono Mayor wa Arusha na tunawaomba maaskofu wasiingilie siasa-Imamu Uchwara Arusha
7. Halafu Kiwete mwenyewe anadai it was unfortunate event wakati aliagiza jamaa wachapwe risasi!
 
wanamuunga mkono meya gani,wakidini au kisiasa,,,,,,wanataka wao tu waingilie siasa hatakama maaskofu wanaingilia siasa wao inawahusu nini,(kweli uchwara)
 
umesahau ku-quote hiyo ya tatu-Pius Msekwa makamu Mwenyekiti Bara
4. CCM imekosa adabu dhidi ya Maaskofu-Samwel Malecela (CCM-CC member)
5. Maaskofu wavue majoho yao waingie siasa-mary Chitandala
6. Tunamuunga mkono Mayor wa Arusha na tunawaomba maaskofu wasiingilie siasa-Imamu Uchwara Arusha
7. Halafu Kiwete mwenyewe anadai it was unfortunate event wakati aliagiza jamaa wachapwe risasi!

8. CCM haipaswi kulaumiwa kwa uchaguzi wa Meya Arusha bali msimamizi wa uchaguzi ambaye ni Mkurugenzi wa Jiji-Makamba
 
Back
Top Bottom