Musululu wa magari ya kutuliza ghasia-nini kimetokea town? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Musululu wa magari ya kutuliza ghasia-nini kimetokea town?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Benno, Jan 11, 2011.

 1. B

  Benno JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nikiwa eneo langu la kazi hapa Nyerere road Nimeshuhudia dakika nnezilizopita magari ya FFU yakipita kwa mbwembwe na tena kwa uwingi, Je mliopo huko center kuna nini? maana nimeshituswa na kukumbuka ya Arusha.


  Natazama pande zote nipate kufika Salaama, maadui ni wengi walinzi ni wachache tena wanawalinda wachache sio wote tunaohitaji ulinzi.
   
 2. B

  Baba Tina Senior Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nyerere roads ziko kila mkoa, unamaanisha wapi?
   
 3. G

  GAMA LUGENDO Senior Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha woga wako, we kila ukiona FFU unashikwa na hofu?
   
 4. M

  MILKYWAY GALAXY JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 12, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Dalili za mvua ni mawingu,

  Hizo ni dalili za amani kuyeyuka polepooole!
   
 5. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwanini asishtuke ? wakati ni hivi juzi kati tu Arusha hawa watu wamefanya unyama?
  Mh wanataisha hawa watu wanatumia nguvu mno kwa raia wasio kuwa na siraha!
   
 6. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  itakua arusha hiyo
   
 7. h

  haki tupu New Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alipata kuyanene mnene huyo,aktoa na maagizo kwa kamanda,nawalipa na mafunzo mnayo sitaki upinzani ndani ya sirikali yangu. Haki haipo huu ni utawala wa kutii sheria
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Umeambiwa nyerere road ziko nyingi au unadhani wote tupo ulipo?
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu lazima watu waogope wanaua hao!
   
 10. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  CCM wako kazini kuumaliza upinzani na kuua raia wasio na hatia
   
 11. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  atakuwa mhalifu huyo unaogopa FFU!?
   
Loading...