Kumbe hata ccm hawaitaki ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe hata ccm hawaitaki ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kilolambwani, Jan 11, 2011.

 1. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nchi ilipofikia sasa chini ya uongozi wa Kikwete, hata wanachama wa ccm hawataki hali hiyo. Ushahidi ni pale wilaya ya Hai iliyokuwa na madiwani 11 wa ccm na 11 wa chadema, halmashauri yake itaongozwa na chadema baada ya diwani mmoja wa ccm kuonyesha uzalendo na uchungu wa nchi yake na kuamua kuipigia kura chadema. Ushahidi wa pili ni diwani wa cc wa Arusha aliyetamka hadharani kuwa hakumpigia kura Kikwete. Nchi itakombolewa, YOTE YANAWEZEKANA
   
 2. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hicho ndicho kinachotakiwa
   
 3. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  siku za sisiem duniani zinahesabika
   
 4. G

  GAMA LUGENDO Senior Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mafarisayo walimuonya yesu na kumuambia 'waambie wafuasi wako waache kupiga kelel'e.lakini yesu akawajibu "wakiacha kupiga kelele hawa, hakika milima na mawe hayo yatapiga kelele na kushangilia"tanzania hivi sasa iko kwenye kipindi cha mpito toka uongozi mbovu kwenda uongozi ambao wananchi wanauhitaji (mabadiriko) kwa hivyo ukiona hadi wana ccm wenyewe wanaipinga na kuiponda ccm yao hadharani, basi ujue chama hicho kinaelekea kaburini.god has and shall always stand on the side of the opressed and downtroden segment of the society.
   
 5. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Hakika hakuna kisichowezekana hapa duniani! naamini umeshafika ule wakati watanzania wameshaanza kusema sasa inatosha! YOU CAN FULL PEOPLE SOMETIME! BUT YOU CAN NOT FULL ALL THE PEOPLE AT THE SAME TIME!
   
 6. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Yap
   
 7. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  mpaka kitaeleweka tu
   
 8. MlongaHilo

  MlongaHilo Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Kwa kweli, hapa tulipofikia tunahitaji kuunganisha nguvu ili kuhakikisha CCM inapumzika kwani kuna kila dalili ya kulewa madaraka. Vinginevyo, watatupeleka pabaya. USHAURI: Tuacha ushabiki wa vyama, bali tuangalia wapi nchi inaelekea!
   
 9. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sema tu wale wakristo wanaosikia neno kanisani. kwa sababu haiingii akilini wewe unagombea na kushinda kwa chama hichohicho eti halafu useme hakifai. wakati upo kwa ajili ya kutekeleza sera za chama husika. kwa nini hawakuenda kugombea huko chadema? mimi nipo hapa somalia nasubiri mambo yaive huko ndo mtajua athari ya hayo mnayoyaendekeza.
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  God forbid.....
   
 11. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  wala usihofu,nyie na CCM yenu endelezeni uhuni vita ianze muone tutakavyowachinja.
   
Loading...