Bbc,sky news,al jazeer uwepo wenu arusha kesho ni muhimu sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bbc,sky news,al jazeer uwepo wenu arusha kesho ni muhimu sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by urasa, Jan 11, 2011.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inapaswa dunia nzima ipate kujua kilio cha watanzania na ukiukwaji wa haki za msingi za binadamu unaofanywa na jeshi la polisi kwa kushirikiana na chama cha mapinduzi,
  dunia ipate kujua kuwa kuna watu ambao wanapaswa kupelekwa icc mapaeama sana tokana na udharimu mkubwa wanaoufanya kwa watu wanopigania haki,
  haki haiombwi bali hupiganiwa kwa gharama yoyote ile,kitendo cha serikali ya ccm kwa kushirikiana na jeshi la polisi kuwakamdamiza watu si cha kiiungwana hata kidogo.
  Wakumbuke kuwa kama polisi watakuwa mbali na eneo la tukio hakuna maafa yatakayotokea ila kinyume chake ni msiba mkubwa kwa taifa hili.mwema na kikosi chako,waachieni watu waendelea kwa amani na shughuli za kuwaaga wapendwa wao,kwani uwepo wenu utakuwa ni mwanzo wa uvunjifu wa amani
   
 2. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0


  Dahh!! Mkuu umeona mbali............

  Hapa ni kuwapa taarifa kwenye mitandao yao ya kimawasiliano kama fb yao na tweeter
   
 3. u

  urasa JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nimefarijika pia kuna mdau mmoja wa arusha ameniambia vyombo vya habari vya kimataifa ameviona arusha,hapa hakuan kulegeza kamba,ni kuwaonyesha dunia serikali dhalimu ya ccm ilivyo
   
Loading...