KAPINGA formally Sukita boss is no more

Bambo

JF-Expert Member
May 18, 2009
238
50
THE former boss of ccm's private company(SUKITA) mr John Kolos Kapinga has died this early morning at his kimara residence.the report from his family has confirmed. i could not confirm the exact cause of the death either but in recent years he's been struggling with rheumatism.
 
Last edited:
- Mungu amlaze pema peponi,

aliwahi kuwa Director wa DABCO ambayo aliiepeleka to the ground na kuiletea hasara kubwa sana serikali, lakini Kolimba akam-pick kuanzisha SUKITA ambako hata messenger alijenga nyumba ya kisasa, hasara iliyopatikana huko sidhani hata kama itakuja kusemwa wazi to the public, maana this SUKITA's thing was nothing but EPA, he was one of the untouchables wetu bongo yaani wachache walio juu ya sheria zetu, toka awamu ya kwanza mpaka hii ya nne.

Mungu amlaze pema peponi na pole sana kwa wafiwa hasa Mkulu Angel salam za heri kwa familia bro, poleni sana.

Respect.

FMEs!
 
Nakumbuka mzee wangu huyu dah jioni itabidi niende kuconfirm kama kweli hayupo tena...Nitamkumbuka ukikaa na mhudumu anaye mmega yeye anakutimua kwenye bar yake kama hujalipa anakulipia kabisa.
Ulale peponi mzee wangu.
RIP
 
Nakumbuka mzee wangu huyu dah jioni itabidi niende kuconfirm kama kweli hayupo tena...Nitamkumbuka ukikaa na mhudumu anaye mmega yeye anakutimua kwenye bar yake kama hujalipa anakulipia kabisa.
Ulale peponi mzee wangu.
RIP

Hahahahaha Mzee hujatulia unahangaikia hata vya wazee....umeisha fika kwenye ile bar na ukumbi wa sherehe pale Kimara Mwisho? mzee alikuwa untouchable kwa kweli kama kweli mauti yamemkuta, Mungu amrehemu mahali pema peponi!
 
Hahahahaha Mzee hujatulia unahangaikia hata vya wazee....umeisha fika kwenye ile bar na ukumbi wa sherehe pale Kimara Mwisho? mzee alikuwa untouchable kwa kweli kama kweli mauti yamemkuta, Mungu amrehemu mahali pema peponi!

hehehehe yeah mkuu kile kilikuwa kiwanja changu sana panaitwa Cool Breeze yeye anapenda vitoto size yetu kwa hiyo ukikaa nacho akikufuma dah balaaa mzee. Hivi karibuni aliuza vitalu vyake Songea huko migodi ikacheua akaanza ujenzi tena kwenye gorofa zile.
Pumnzika mzee wangu nitakukumbuka sana na msaada wa magodoro pale kanisani.
 
Mzee john kapinga aliyekuwa mkuu wa shirika la uchumi la chama ,amefariki muda mfupi uliopita,tunatoa pole kwa wafiwa!
 
R.I.P. Mzee Kapinga, tunakukumbuka sana enzi zako miaka ya '80s mwishoni wakati SUKITA ikiwa juu. Tangu ianguke, hatukusikia tena habari zako, labda ni ule usemi wa 'nahodha kuzama na chombo chake'

Poleni sana wafiwa!
 
- RIP Mzee Kapinga, Mungu ameweke palipo salama mbele ya haki, my heart goes to the Family, ndugu Angel na Davis poleni sana wakuu nitawatafuta later. Greetings kwa wanafamilia wote na Mungu awape nguvu zake za ajabu katika kipindi hiki kigumu.

Bwana alitoa sasa ametwaa, lihimidiwe jina la Mungu.

Amen.

William.
 
GOD GIVETH,GOD TAKETH.dear suji my heartfelt condolences on the loss of thy dear dad

- Mkuu kumbe na wewe unawafahamu, basi tupo pamoja sana sidhani kama kuna mtu hamfahamu marehemu pale Kimara, maana yeye na Mwambungu, aliyekua bosi wa NDC ni baadhi ya wakuu wa kwanza kuhamia huko, na ndugu yangu Kamando yule mkulu wa Ukerewe. Unajua kumbe nyani huwa haoni his behind.

Mungu awape nguvu familia.

Ahsante.

William.
 
Back
Top Bottom