Tambwe HIza na Hoja dhaifu kumhalalisha Mary Chatande! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tambwe HIza na Hoja dhaifu kumhalalisha Mary Chatande!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zed, Jan 11, 2011.

 1. Zed

  Zed JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35  So wananchi wakiwakataa CCM kwa kutowapigia kura basi wao watadai wabunge wao wakuteuliwa kutoka majimbo mengine wamehamia kwenye mkoa huo na hivyo kuchukua uongozi wa halmashauri ya majimbo hayo. Ama kweli hii ni demokrasia ya majuha na kama ni hivyo basi Katiba inayosimamia demokrasia ya namna hiyo ni yakuondolewa kabisa! Tambwe anatetea ujuha!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0

  hana maana,toa hapa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 4,935
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Tambwe Hiza= Al Saaf= Mwendawazimu Namba 1 nchini
   
 4. c

  cray Senior Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 172
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  The guy is almost a punk(filletlessfish), spoken by Sauper, he has nothing to tell us. We should not waste time talking about it.
   
Loading...