Kipara achia madaraka kulinda amani udsm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipara achia madaraka kulinda amani udsm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kagarara, Jan 11, 2011.

 1. k

  kagarara Senior Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa udsm hapakaliki! Kipara asemekana kuwa chanzo cha matatizo kwa kujiunga na tahliso kinyemela pasipo kuwahusisha wapiga kura wake. Hoja hapa ni kwamba kipara ang'oke. Sasa najiuliza kipara mbona anang'ang'ania madaraka wakati waliomchagua hawamtaki na bunge limethibitisha hilo?
   
Loading...