My note! mimi hii nimeipenda sana,kama hawa watoto wameamua kuandamana itakuwa ni njia nzuri sana ya kuwafungua macho wazazi mbumbumbu na kuhamasisha vijana wote wa Tanzania kudai na kutetea haki...
SIKUBALIANI kabisa na uamuzi wa serikali kusimamisha tiba ya Babu Samunge. Kama ni kujaa mbona Muhimbili hospitali ya rufaa ya taifa imejaa wagonjwa hadi kwenye sebule au corridors na hata neti...
Waziri mkuu Mizengo Pinda juzi binafsi amenichefua akili yangu sana, kwanini ameshindwa kutofautisha siasa na utendaji? Eti anampiga stop Dr. Magufuli juu ya upanuzi wa barabara zetu na kuuita...
SIKUBALIANI kabisa na uamuzi wa serikali kusimamisha tiba ya Babu Samunge. Kama ni kujaa mbona Muhimbili hospitali ya rufaa ya taifa imejaa wagonjwa hadi kwenye sebule au corridors na hata neti...
Nimesikia kwenye BBC leo kuwa Baraza la Mawaziri litakaa siku ya Jumamosi hii (12/03/2011)kutathmini hali ya kuporomoka kwa uchumi nchini.
Akiongelea suala hilo, Waziri wa Fedha Mkullo amesema...
Political analysts and activists have criticised President Jakaya Kikwetes advisers over misleading or outdated information provided to the Head of State.The President has apparently been relying...
Tanzania has started benefiting from Turkish investors, who are fulfilling their promise to invest, produce products in the country for export to Turkey and other countries.
The investors have...
Fellow Tanzanian, the CCM has given us a minimum of 50yrs to kick them out, think now is the time to elevate and exponentiate our efforts so we can reduce it to atleast 20.
Just becoz they...
baada ya uchunguzi nilifanya kwa muda mrefu
nimegundua tanzania ni nchi pekee ambayo haina raisi/kiongozi
mawaziri wamekuwa wanazozana kama watoto wanaofuatana katika
familia
jk sasa...
KAMATI ya Nishati na Madini imeamuru kuwashwa mara moja kwa mitambo ya kuzalisha umeme ya Kampuni ya Dowans ili kupunguza tatizo la mgawo wa umeme.
Hatua hiyo ni kati ya maazimio na...
Wanajf hii nayo imekaa vizuri. inafikia hadi wenyewe wanakiri udhaifu wao
:hand:CCM Dar: JK amekwama
Yataka mitambo ya Dowans kuwashwa haraka
na Betty Kangonga...
Unaamini ya kwamba Historia inajirejea ? Nikweli kuwa Kura za Waislamu zinamchango mkubwa kumuweka Raisi yeyote madarakani hapa Tanzania. Hili lilianza tangu wakati wa Mwalimu Nyerere. Muulizie...
SERIKALI imesema propaganda zinazoenezwa na CHADEMA katika maandamano ya kutaka kuiondoa madarakani serikali ni sawa na ndoto za mchana. Hatua hiyo inatokana Tanzania kutawaliwa kwa kufuata mifumo...
Waziri wa Afrika mashariki Mh. Samweli Sitta amesema CCM wanatakiwa kujiangalia upya kuhusu mwenendo wa viongozi walio wengi wa chama hicho ambao wanakipeleka chama pabaya na chama kupoteza...
Kutokana na ubovu wa barabara ya kuelekea loriondo kwa babu, mbunge wa moshi mjini ndesamburo ametoa helcopta yake kupeleka wagonjwa mahututi kupata tiba kwa babu. Source: tbc-habari.
Augustino Lyatonga Mrema,Mbunge wa jimbo la Vunjo na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya hesabu za serikali ya mitaa,ameanza kwa kishindo ambacho sio chenyewe na kudhihirisha jinsi...
Naomba muongozo watanzania wenzangu kuuliza kuwa kunautafauti gani Kikwete akiwa nchini au asiwepo, kuna baadhi ya watu nimewasikia wakisema ni bora akisafiri asirudi tena akae hukohuko mpaka 2015...
great thinkers wa Jf Salam
Jana tumemjua mshauriwa rais wa mambo ya uchumi. sijui kama yuko mmoja au wapo wengi
Napenda tuwajue na tutajiwe kwa majina taarifa washauri wa rais wa mambo...
Maelezo ya uthibitisho ya Mheshimiwa Godbless Jonathan Lema (mbunge) juu ya kauli ya uwongo iliyotolewa na Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo P.K. Pinda (mbunge) wakati akijibu maswali kwa Waziri Mkuu...